Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

Nje akienda Canada kamaliza mikosi yote,hata akienda Sweden au Ubergiji a Australia, ila awe at least mrefu kiasi kashamaliza sababu huo ujenzi wake pia ataukuta Canada inagawa wanajenga kwa technology lakini site lazima iwe na watu
Am sure Maisha popote pale it's all about yourself ie discipline, dedication,desire,hunger,anger, determination, passion,mission, ambition, courage, yaani zile inner strength huwa naziogopa na kuziogopa ,naziheshimu mno,
 
Tayari hapo ushaingia Arusha rasmi,na pia ukiweza uwe na jiko la Barbeque katika bar maarufu ili wakati huna wageni unakuwa zako kijiweni sio usenge wa kubeti hapa
Sawa mkuu nitakutafuta kwa misaada zaidi
 
Powa,,, Mkuu ngoja tuangalie
 
Nenda kule juu ilboru secondary kuna kikampuni cha kupelekea wazungu mlimani hutokosa kazi ya kupeleka wazungu kwa siku saba hukosi pesa, ulizia kwa pale ilboru safari lodge
 
Nenda kule juu ilboru secondary kuna kikampuni cha kupelekea wazungu mlimani hutokosa kazi ya kupeleka wazungu kwa siku saba hukosi pesa, ulizia kwa pale ilboru safari lodge
Sawa mkuu ngoja kesho kutwa nijidamke
 
Hii story yako ni kama Ina kaharufu ka kudanganya (Uongo/Ulaghai) umehitimu kidato Cha nne 2020 iweje saivi uweje saivi uwe mwaka wa 2 degree? Na diploma umeisoma miwili how this possible? Kwa ninavyo jua diploma ni three years (2 years of certificate and 1 year of Diploma) ww umeisomaje miaka miwili? Kwa huo mwaka uliyo hitimu kidato Cha nne, saivi ingetakiwa uwe first year degree ukitarajia kuingia Second year mwezi wa 10.

Anyway hongera wewe ni mpanaji.
 
Yeah 2020 nilijiunga certificate, 2019 nilihitimu form 4 sema huo mkato baada ya 2020 ndio umekuchanganya Mkuu,,,, ni uandishi kidogo nimeteleza kumradhi
 
Keep fighting utafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…