Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

Myebusi Mweusi hakuna namna kwa kutumia huo uchawi wako tukapora pesa hata benki kuu huko, tukawa zetu matajiri..??
 
Hapa utasikia..anatuma namba mjiunge grup la watsap ili story iendelee huko..mtume na buku buku za vocha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Myebusi huyo mbwa mwenye madoa alikuwa ni fisi? Ukipata muda mzuri endelea sina sababu ya kushakia mapito yako
Kwani unadhani mpaka na utu uzima alionao hajui kuwa yule alikua Fisi...!?
Amefanya kwa Makusudi.....
 
Back
Top Bottom