Benki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa hiyo Benki huwa kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kutokana na roho za watu ambazo huwa zinakuwepo mahali pale na kutokana na zile ambazo zilishawahi kuwepo mahali pale; na si Benki tu bali sehemu zote ambazo ni PUBLIC huwa zina ulinzi wa Mungu na ESPECIALLY sehemu ambazo watu huwa wanakusanyika kwa ajili ya kufanya SHUGHULI HALALI, ikiwemo MAOFISINI NA MAKANISANI, ukiachilia mbali sehemu zingine ambazo nazo ni PUBLIC pia lakini zina mambo ambayo huwa yanendelea pale yayotia shaka kidogo
Kwa hiyo kila sehemu ambayo ni PUBLIC, ina ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kabisa bila kujali ni nini huwa kinaendelea pale; provided huwa wankusanyika pale binadamu aliowaumba kwa mfano wake
Unakuta kuna sehemu zingine PUBLIC lakini za ajabu kabisa, lakini still Mungu anakuwa na ulinzi wake mahali pale kwa sababu anakuwa anajua kuwa KUNA SAULI AMBAYE HUWA ANAKUWEPO MAHALI PALE, AMABAYE KESHO ANAMHITAJI AWE PAULO KWA AJILI YA WATU WAKE