Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
- Thread starter
-
- #61
Wewe hata miguu ya mtu huijui?Umesema ulikula nyama za watu,sasa ulijuaje kua zile zilikua nyama za watu?,au zilikua zimebandikwa tag?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Umeambiwa bado inaendeleaKwani wewe bado ni mchawi??
Hujasema mahali kua umeacha ama umeachaje achaje!!
Kama bado mchawi basi nakusihi umrudie muumba wako mkuu.
Naweza kukufanya upate pesa, lakini sio kuibia bankMyebusi Mweusi hakuna namna kwa kutumia huo uchawi wako tukapora pesa hata benki kuu huko, tukawa zetu matajiri..??
Kwanini siyo kuiba benki myebusi.?Naweza kukufanya upate pesa, lakini sio kuibia bank
Bank zina zindiko kali sana, damu ya watu, na wanyama mbalimbali hutumika. Hamna Bank ambayo haijazika simba hapa TanzaniaKwanini siyo kuiba benki myebusi.?
Mhhh ya kweli hayo?Bank zina zindiko kali sana, damu ya watu, na wanyama mbalimbali hutumika. Hamna Bank ambayo haijazika simba hapa Tanzania
Ingia kwenye ngoma uone uhondoMhhh ya kweli hayo?
Kwani unadhani mpaka na utu uzima alionao hajui kuwa yule alikua Fisi...!?Myebusi huyo mbwa mwenye madoa alikuwa ni fisi? Ukipata muda mzuri endelea sina sababu ya kushakia mapito yako
Uchawi sio Hiyari....Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani mtu mwenye akili hawezi kuwa mchawi
Kuingia rahisi sana, kujitoa sasaUchawi sio Hiyari....
Uchawi ni technology duniUchawi sio Hiyari....
Leta story mkuuUchawi ni technology duni
Uchawi ni kama umeme ukiwa plastic aukupatiLeta story mkuu