Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Umesema ulikula nyama za watu,sasa ulijuaje kua zile zilikua nyama za watu?,au zilikua zimebandikwa tag?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani thus ufanya mambo yasiyo na faida hata kwakeLeta story mkuu
Mh[emoji848]Naweza kukufanya upate pesa, lakini sio kuibia bank
Benki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingineBank zina zindiko kali sana, damu ya watu, na wanyama mbalimbali hutumika. Hamna Bank ambayo haijazika simba hapa Tanzania
Vii kuhusu wanafunzi wanaopigwa na radi wakiwa darasani ama bwenini?Benki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa hiyo Benki huwa kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kutokana na roho za watu ambazo huwa zinakuwepo mahali pale na kutokana na zile ambazo zilishawahi kuwepo mahali pale; na si Benki tu bali sehemu zote ambazo ni PUBLIC huwa zina ulinzi wa Mungu na ESPECIALLY sehemu ambazo watu huwa wanakusanyika kwa ajili ya kufanya SHUGHULI HALALI, ikiwemo MAOFISINI NA MAKANISANI, ukiachilia mbali sehemu zingine ambazo nazo ni PUBLIC pia lakini zina mambo ambayo huwa yanendelea pale yayotia shaka kidogo
Kwa hiyo kila sehemu ambayo ni PUBLIC, ina ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kabisa bila kujali ni nini huwa kinaendelea pale; provided huwa wankusanyika pale binadamu aliowaumba kwa mfano wake
Unakuta kuna sehemu zingine PUBLIC lakini za ajabu kabisa, lakini still Mungu anakuwa na ulinzi wake mahali pale kwa sababu anakuwa anajua kuwa KUNA SAULI AMBAYE HUWA ANAKUWEPO MAHALI PALE, AMABAYE KESHO ANAMHITAJI AWE PAULO KWA AJILI YA WATU WAKE
Upo ila wanashambuliwa. Kunakuwa na mlango wa shambulizi. Aidha mmoja wao au baadhi yao wanakuwa ni mawakala wa shambulio hilo, au linakuwa ni la kutoka nje. Tuliposema kuwa BENKI kuna ulinzi wa Mungu, bado haimaanishi kwamba Benki hapawezi kuibiwaVii kuhusu wanafunzi wanaopigwa na radi wakiwa darasani ama bwenini?
hao huwa hawako PUBLIC na ulinzi wa Mungu unakuwa Haupo?
kwanza unaambiwa kabisa kuwa ndg hizi tunakula nyama za watu na lengo letu ni kadha wakadha.Umesema ulikula nyama za watu,sasa ulijuaje kua zile zilikua nyama za watu?,au zilikua zimebandikwa tag?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
mbona rahisi tu dogo....wee!! nambie tu!! Uko wapi na tukutane wapi tukupe dawa ya kujinasua na mtaji wa kutosha kumudu maisha..Ninahangaika kujinasua, sijui nitawezaje kuachana na kadhia hii
mbwembwe za uandishi, ana usimuliaji mzuri na ni mwandishi mzuri pia, natamani angeendelea, kujua aliyokutana nayo.Kwani unadhani mpaka na utu uzima alionao hajui kuwa yule alikua Fisi...!?
Amefanya kwa Makusudi.....
Mkuu kwenye post ya juu umesema wewe ni mchawi pia. Je mfano katika kuwanga ni vitu gani vya ajabu unavishuhudia kwenye manyumba ya watu? Mfano mtu wa dini akifanya maombi yake bado unaweza kwenda kuwanga?! Pia ukienda kuwanga umeshawahi kwenda kwa mchawi mwenzako akakushtukia?!mbona rahisi tu dogo....wee!! nambie tu!! Uko wapi na tukutane wapi tukupe dawa ya kujinasua na mtaji wa kutosha kumudu maisha..
Njoo kwa NGO yetu ufaidi.....ili uwaokoe na wengine lkn uwe tayari kutumikka kanisani..
Yesuuuuu.Stori umeshindwa kuimalizia siyo? Ndo maana tukikamata vichawi vyenzako kama wewe tunapiga moto tu maana ni wapuuzi
Hebu mambo yenu yawekeni kwenye maandishi ili tuone namna ya kuwasaidia kuboresha technology yenukwanza unaambiwa kabisa kuwa ndg hizi tunakula nyama za watu na lengo letu ni kadha wakadha.
Pili radha yake ni tamu sana. Ever happen ukionja tu kamwe huachiii.
Tatu ni nyekundu kiasi sana kuliko nyama za kawaida.
Minofu yake imeshikamana vyema.
Ni laini mno kiasi cha kutafunika.
Utamu wake si kawaida.
Mengine ongezeni wachawi wenzangu.....
Hkn mchawi maskini Duniani...yale mnayo yaona wakiyaishi ni viini macho bin mazingaombwe tu...lkn kiundani heee!!ni matajiri hatare!!! Weee!! Fikiria tu mtu analala na mke hata wa Rais na kuzaa watoto...ni kawaida hiyo kweli??...wachawi wapo kwa madaraja km vyeo vya jeshi mnaowakamata hao ni sawa na makuruta tu ambao wamekosa nidhamu jeshini......lkn brigedier wa kichawi maweee!!..mtasugua sana.linawacheck tu ivi!! ......tena akitaka anamuokoa kiubweteee huku nyie mnafurahi mmeua mchawi....yeye kuumbe anaishi kivingine mweee!! Ukisikia binadamu wengine ni zaidi ya walivyo......anaweza kukupiga minyoto usizae katu..hata ukizaa toto halina manufaa linakuwa teja la kuliwa tigo...tena mbele yako linagombewa km mpira wa kona... Au wanakufanya mnajinyonga kwa sababu kidogo tu kizazi chako chote....chunguza wale wote walio jinyonga binafsi. Huko nyuma!! Baba/mama....babu nk huko nyuma walifanya matukio ya kuwaona wachawi na kuwapiga na askwambie ntu mchawi anaishi miaka bwena!
Ni simulizi tu, ni hadithi....mbwembwe za uandishi, ana usimuliaji mzuri na ni mwandishi mzuri pia, natamani angeendelea, kujua aliyokutana nayo.
Hhahahahaahaha Sema wachawi wanafaidi na private jet zao
Unafahamu kafara langu? Utalilipa na nini?mbona rahisi tu dogo....wee!! nambie tu!! Uko wapi na tukutane wapi tukupe dawa ya kujinasua na mtaji wa kutosha kumudu maisha..
Njoo kwa NGO yetu ufaidi.....ili uwaokoe na wengine lkn uwe tayari kutumikka kanisani..
Nyie mnapinga tu nguvu za kichawiBenki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa hiyo Benki huwa kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kutokana na roho za watu ambazo huwa zinakuwepo mahali pale na kutokana na zile ambazo zilishawahi kuwepo mahali pale; na si Benki tu bali sehemu zote ambazo ni PUBLIC huwa zina ulinzi wa Mungu na ESPECIALLY sehemu ambazo watu huwa wanakusanyika kwa ajili ya kufanya SHUGHULI HALALI, ikiwemo MAOFISINI NA MAKANISANI, ukiachilia mbali sehemu zingine ambazo nazo ni PUBLIC pia lakini zina mambo ambayo huwa yanendelea pale yayotia shaka kidogo
Kwa hiyo kila sehemu ambayo ni PUBLIC, ina ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kabisa bila kujali ni nini huwa kinaendelea pale; provided huwa wankusanyika pale binadamu aliowaumba kwa mfano wake
Unakuta kuna sehemu zingine PUBLIC lakini za ajabu kabisa, lakini still Mungu anakuwa na ulinzi wake mahali pale kwa sababu anakuwa anajua kuwa KUNA SAULI AMBAYE HUWA ANAKUWEPO MAHALI PALE, AMABAYE KESHO ANAMHITAJI AWE PAULO KWA AJILI YA WATU WAKE
Kwani kasema kastaafu?Uzi wa mchawi mstaafu[emoji23][emoji23][emoji23]