Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya Christmas Sir... Vipi hali yako lakiniHappy Holiday 🌲 Pal' .
Criston Cole
Thanks to the Lord.Heri ya Christmas Sir... Vipi hali yako lakini
Mimi niko poa kwakweli sema shemeji yako harakati za siri kaninuniaThanks to the Lord.
I'm full of energy Sir💪.
How about you Pal'?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi niko poa kwakweli sema shemeji yako harakati za siri kaninunia
Kwa nini amekununia?Mimi niko poa kwakweli sema shemeji yako harakati za siri kaninunia
Ukiona mtu anafurahia maumivu yako basi akupendi.Basi anitese tu hua anafurahi nikiwa naumia.
Imagine I'm drinking because of her
Sir i love her so much. She just ignores me 😩
Usiruhusu haitawale akili yako bali wewe hakikisha uitawale yake.Sir i love her so much. She just ignores me 😩
Give me a little description about this word. Pleasepkeay
Kuna thread yako moja ulijaribu kuelezea kwamba ni ujinga kwa mwanaume kulialia kisa mapenzi, wakati Mwenyezi Mungu tayari ameshatubariki na kutapa variety of women. Ni sisi kuchagua tumpendaye asiye tupenda tunapiga chini tunachukua mwingine.She hurt me
Siwezi kumconvince yeye akupende wewe. Kwa maana penzi alilazimishwi hata siku moja.She hurt me
Why she does this to me 😔
👍Dm me
Ni vizuri tuendelee na open chatting conversation rather than Dm.She hurt me