Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Why Sir?Let's call it off sir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why Sir?Let's call it off sir.
😭😭😭😭😭I was stupid yesterday 😔
Hivi nyoka anafaida ipi katika mazingira?? Na wanyama mwengine?Unaweza ishi na Koboko(hata nyoka wengine pia) zaidi ya Miaka 100 asikudhuru ila sharti ni moja tu" nyoka ndiye ajue uwepo wa binadamu eneo ilo ila si binadamu ndiye ajue kuna nyoka eneo ilo".. Hii ni kwa uzoefu binafsi na kusoma maandishi kama haya.
Usijaribu kutaka kuua nyoka usijiweke kwenye hatariAisee nyoka ni wa kuua tu.
Hivi nyoka anafaida ipi katika mazingira?? Na wanyama mwengine?
Je nini kitapungua au kutokea/kuathirika kwa mwanadamu ikiwa nyoka wote watatoweka(Extinct)?Nyoka anaplay role kubwa sana katika mazingira kwa kucontribute health ecosystem na kuwezesha kuwepo kwa balance of nature.
Everything when exceed a certain level (superfluous) become harmful.
Nyoka anasaidia sana kumantain idadi ya frog pamoja rodents kwa kuact kama Rodent and frog exterminator.
✍️ Rodents - (wanyama wenye asili ya panya).
Je nini kitapungua au kutokea/kuathirika kwa mwanadamu ikiwa nyoka wote watatoweka(Extinct)?
It's okay wakipungua. Kama nyoka ana umuhimu sana basi asingeumbwa na sumu kali ambayo ni hatari kwa mwanadamu.Obvious, Ecological imbalance/Distortion, hapo kuna vitu viwili muhimu predators na preys.
✍️Tutegemee kuwa na high numbers of preys (Rodent + Frog) ambao wataleta madhara na uharibifu mkubwa katika mazingira. Kwa mfano uharibifu wa mazao ya chakula.
✍️Tutegemee extinction kwa baadhi ya predators ambao chakula chao kikubwa ni nyoka.
Bado naona ni nadharia zaidi yaani katika viumbe wote waliopo ukimtoa nyoka basi maisha ya mwanadamu yatayumba. Mbona Dinosaurs ambao ni most predators walipotoweka hakuna kilichopungua kwenye maisha ya mwanadamu.✍️ Kupungua kwa flow of nutrients + energy kutoka trophic level moja kwenda kwenye trophic level nyingine. Kutokana na kutoweka kwa nyoka katika mzunguko mzima wa ecosystem ambayo imebeba food web + food chain.
Kila kiumbe kina thamani kwenye mazingira kiwe kidogo au kikubwa, chembamba au kipana, kirefu au kifupi usikidharau kwa maana Kila kiumbe kina play role yake katika nature. Ni haki yetu kukitunza kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.
Binafsi kwa wanyama wengine sijafuatilia labda wataalam wengine watuambie. Sidhani kama simba ana uwezo huo maana hua ana aibu ukimkazi macho bila kuogopa anakuacha. Ila nyati na Koboko hawa viumbe ni wakorofi sana hua hawasubiri nini wao wanaanzisha tu ugomvi.Ni bandiko zuri, hata mimi niliwahi kusikia kuhusu hilo.
Ukiingiwa na woga basi joka linakukudonoa japo sikujuaga mechanism yake.
Huyo ni nyoka vipi kwa wanayama/wadudu wengine??
Mimi sina huruma na nyoka. Nikimuona kama naweza namuua mara moja.Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo ambalo mimi sifiki au watu wengine.
Sehemu Fulani nilipokua nakaa kulikua na kisima kisicho na maji humo ndani kuna nyoka alikua akishi humo hadi akawa na watoto kwakweli iliniwea vigumu kumuua japo wananchi weye hasira kali walikuja wakateketeza ile familia, Fast-forwarding
Siku moja natembea barabarani usiku nikakutana na nyoka mdogo yupo katikati ya barabara kashindwa kuvuka ajili ya mwanga wa maloli yaliyokua yanapita, mimi nikaenda kwa nia njema kabisa nimsaidie avuke upande wa pili cha ajabu nilipomfikia akainua kichwa juu anaigonge/ng’ate, nikawa namkwepa. Kila nikimfukuza aende upande wa pili anakua ananijia aning’ate kwakweli nikashindwa kumsaidia ikabidi nimuache roli likamgonga. Iliniuma kiasi maana nilikua nina nafasi ya kumsaidia ila nilishindwa.
Unadhani kwanini japo nia yangu ilikua ni njema kumsaidia maisha yake lakini aliniona adui na kutaka kunigonga?
Kwa mujibu wa biblia baada ya wanadamu wa kwanza kufanya maasi Mungu alitoa laana kati ya nyoka na mwanadamu kwa kusema “name nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa na wewe utamponda kisigino” kwa mantiki hiyo watu wengi huchukulia kwamba hiyo laana aliyotoa Mungu kati ya binaadamu na nyoka ndio inafanya mwanadamu na nyoka waviziane kumuua mwingine lakini mimi nasema hiyo sio kweli laana hiyo aliotoa Mungu sio sababu bali ilitumika kama fumbo. Maana kubwa aliyomaanisha mungu ni kwamba ujuzi wa mema na mabaya walioupata wanadamu kwa kula tunda/kuasi ndio unaofanya mwanadamu na nyoka wawindane….nitajaribu kulielezea hili kisayansi zaid ili nieleweke vizuri.
Catecholamines
Endocrine Glands ni mfumo wa tezi ambao wenyewe hutoa hutoa homoni moja kwa moja kwenda kwenye mfumo/mzunguko wa damu wa damu. Adrenal Gland ni tezi iliyopo katika mfumo watezi ambayo inapatikana juu ya mafigo kazi kuu ya tezi hii ni kuweka sawa kiwango cha chumvi na kurekebisha kiwango cha musukumo wa damu. tezi hii hutengeneza homoni mbali mbalimbali kama vile cortisol,epinephrine,catecholamine nk pia hutengeneza homoni ya adrenaline, adrenaline hutengenezwa pia katika medulla oblongata kwa kiwango kidogo
Pindi unapokua na hasira au unapoona kitu cha hatari kama vile nyoka tezi hii ya Adrenal hutoa homoni ya epinephrine, husababisha kutengenezwa kwa homoni ya cortisol, ambayo huongeza shinikizo la damu, sukari ya damu, na kukandamiza mfumo wa kinga.Mwitikio wa awali na miitikio inayofuata huchochewa katika jitihada za kuunda nyongeza ya nishati. Ongezeko hili la nishati huamlishwa na epinephrine kujifunga kwa seli za ini na uzalishaji unaofuata wa glucose.
NB: Adrenaline hufahamika pia kama Epinephrine
mzunguko wa cortisol hufanya kazi kugeuza asidi ya mafuta kuwa nishati inayopatikana, ambayo hutayarisha misuli ya mwili mzima kwa majibu/reaction. Homoni za catecholamine, kama vile adrenaline (epinephrine) au noradrenalini (norepinephrine), husaidia reaction ya haraka ya mwili ambayo huhusiana na maandalizi ya misuli kuchukua hatua kali…..Misuli inapofikia hatua hiyo unapofikia katika hatua hiyo moyo na mapafu huongezeka kasi yaani mapigo ya moyo yataenda haraka na mtu mtu atakua anapumua haraka, huziwia tezi ya Lacrimal ambayo hufanya kazi ya kuzalisha machozi na mate ndio maana ukiwa umeona kitu cha hatari mate na koo hukauka…pia kutetemeka mwili. Baada ya haya yote kutokea mwili ndio mwanadamu ataamua akimbie hatari(flight) au apambane na hatari(fight.
View attachment 2446763
Vomeronasal organ (VNO) ni sehemu/mlango/sense organi ya ziada iliyopo juu ndani yam domo kwa juu ambayo hutumika katika kunusa mara nyingi organ hii hupatikana zaidi katika nyoka na mijusi. VNO wa jina lingine inaitwa Jacobson Gland. Katika nyoka Tezi hii ya VNO ina uwezo mkubwa sana wa kunusa Scent za vitu….Kama nilivyoelezea huko juu kwamba mwanada mu ukiona kitu cha kutisha Adreanal Gland ina activate reaction ya Fight or Flight kumbuka kwamba mwili ukishakua kwenye reaction hiyo hormone mbalimbali zinazoachiliwa (Adrenaline) zinasambaa katika damu yako hivyo basi nyoka kwa kutumia tezi ya VNO/Jacobson gland huweza kuunusa mwili wako na kugundua kwamba mtu huyu ni adaui kwangu nae atajihmi maana atakusikia harafu yako ni tofauti ajili ya hormones hizo.
View attachment 2446749
Mwanzo kwenye mada nimeeleza nilivyotaka kung’atwa na nyoka nikiwa nataka kumsaidia sababu ni kwamba alisikia scent ya mwili wangu iliyotokana na homoni mbalimbali zilizoachiliwa katika kutekeleza reaction ya fight or flight….Kawaida ya nyoka kama yupo ndani usipomuona wala kumkanyaga hawezi kukudhuru kabisa lakini pindi utakapomuona tu basi naye atajitahidi ajihami kwani kama hujamuona mwali wako unakua upo sawa kabisa lakini pindi utakapomuona tu mwili wako utabadirika kwani utakua unajua ile ni hatari.
Kwa mantiki hiyo uadui uliopo kati ya nyoka na mwanadamu unatokana na ujuzi wetu wa kujua baya na jema kwani kujua nyoka huyu ni adui sio mwema ndio huactivate Adrenal gland kama tungekua hatujui jema na baya basi kamwe tusingekua na uadui na nyoka ndio maana mtoto mdogo chini ya miaka miwili anaweza kucheza na nyoka mkali na asing’atwe kamwe lakini kama mama yake atatokea na kumuona mtoto akicheza na nyoka basi anaweza sababisha kweli nyoka akamng’ata mtoto maana mama anajua jema na baya so akimuona nyoka na mtoto ni lazima apige kelelemna wakati huo adrenaline itakua tayari ishasambaa mwilini nyoka ataisikia scent na kujua huyu ni adui kelele za mama zitamtia uoga mtoto kisha aanze kulia maana mtoto atahisi labda kuna hatari ndio maana mama yake anapiga kelele. Ile kuhisi hatari kwa mtoto nako ni adrenal nayo inakua inaanza kufanya kazi so hapo inakua ni utashi wa nyoka mwenyewe atakachoamua.
View attachment 2446767
Hivyo Yule nyoka japo mimi nilikua nina nia njema ya kumsaidia lakini nilimfuata mwili wangu ukiwa katika hali ya fight or flight kwani najua Yule ni mbaya kwangu hivyo nyoka hakuangalia dhamira yangu bali alifuata sense yake ya Jacobson gland.
….
Hii ni theory yang tu kutokana na uelewa wangu wasayansi inawezekana sipo sahihi hivyo basi ruhusa kwenu kunikosoa na kusahihisha pale nilipokosea
-Criston Cole
It's okay wakipungua. Kama nyoka ana umuhimu sana basi asingeumbwa na sumu kali ambayo ni hatari kwa mwanadamu.
I concur with your concerns Sir.The answer is very clear mate.
Lazima tuelewe kwamba kila kiumbe kina defensive mechanism yake ambayo inamsaidia kupambana na maadui zake.
Ntatoa mfano mmoja hili twende sawa Pal'.
✍️ Kinyonga (Chameleon) - utumia camouflage technique ya ngozi yake kwenye kujilinda dhidi ya maadui zake na kuescape harsh environment. Lakini pia through camouflage umuwezesha Kinyonga kujipatia chakula chake kwa urahisi.
Pia kwa nyoka ni hivyo hivyo utumia sumu yake kwa vitu viwili moja kujilinda dhidi ya maadui zake na pili kujipatia chakula chake.
That it's Pal'.
Bado naona ni nadharia zaidi yaani katika viumbe wote waliopo ukimtoa nyoka basi maisha ya mwanadamu yatayumba.
Hivi ni yupi aliyeliwa na nyoka akafariki akamwachia mwanae kazi??Sio nadharia huo ndiyo ukweli mkuu.
Nafikiri wewe ni shuhuda namba moja wa documentary ya snake in the city inayooneshwa National Geographic. Kwamba nyoka wanaingia katika makazi ya watu wakifata haswa panya pamoja na other preys kwa ajili ya chakula.
Mshikaji na demu wake kazi yao nikuwakamata nyoka hao na kuwarudisha katika mazingira yao asilia. Huku wakicharge fees ya ukamataji (but i don't remember is how much Rand?) pamoja na kuchukua documentary ya tukio zima kwa ajili ya kuiuza National Geographic.
Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.Unafaa sana kuandaa documentary ya snake city pale Nat Geo wild
Kuna taipan snake😱😱Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.
Kama carter snake wanavyotisha sijui wana mapembe wale
Hivi ni yupi aliyeliwa na nyoka akafariki akamwachia mwanae kazi??
Au namchanganya na Incredible Dr. Pol
I concur with your concerns Sir.
I'm still pondering myself and I'll need your clarification on prior Qn.
Mwanadamu alipata madhara/hasara gani katika maisha yake baada ya Dinosaur kutoweka??