Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Mimi ni mfugaji wa Nyoka karibu sana Kwangu uone shamba langu.
Baadhi ya mifugo yangu!!!
Screenshot_20230108-014633_Photos.jpg
Screenshot_20230108-014801_Photos.jpg
Screenshot_20230108-014706_Photos.jpg
 
Vipi kuhusu wanyama wengine ambao hung'atwa na Nyoka...? Mfano , Ng'ombe, Mbuzi ,kuku etc... Huwa kinatokea nini mpaka Nyoka anawadhuru...? Msaada .

By the way somo ni zuri Sana...
Nimesoma hizo hormones zote katika elimu yangu...umeelezea vizuri Sana...
 
Vipi kuhusu wanyama wengine ambao hung'atwa na Nyoka...? Mfano , Ng'ombe, Mbuzi ,kuku etc... Huwa kinatokea nini mpaka Nyoka anawadhuru...? Msaada .
Btw hata wanayama wengine nmwana uelewa wa kwamba hii ni hatari...ndio maana swala akimuona simba hukimbia. Coz anaajua he's a prey and there he comes predator. So lazima akimbie.

Nyoka hua haitokei kwamba anawafuata wanayama awagonge...mara nyingi ni either wanayama wameingia himaya yake au kumkanyaga
By the way somo ni zuri Sana...
Nimesoma hizo hormones zote katika elimu yangu...umeelezea vizuri Sana...
Pamoja sana, Salute Sir!
 
Nyoka ndiye kiumbe namuogopa kuliko wengine
 
Huyo nyoka alikuwa ameyachoka maisha kwa sababu ya kukaripiwa na wazazi wake, hasira zilimshawishi ajiue sasa hakupenda msaada wako kwani haukua na tija kwake.
Nyoka na mwanga hawapatani... Ofcourse all nocturnal animals hua hawapatani na mwanga mkali
 
Back
Top Bottom