Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Ngojea nitoe maoni yangu kwenye mada hii, ndugu mleta mada Da'Vinci huwa nasoma sana mada zako, naweza kuchukua siku mbili mpaka wiki na mada yako moja ni bahati mbaya sio mchangiaji sana.
Lakini lengo langu kusema hivi ni kukupongeza, niseme tu umejaliwa akili! Thanks.
Thanks so much for appreciation Sir.
It means something to hear this from you, unfortunately I'm not that genius. It's just napenda kushea nanyi mawazo nayokuanayo kichwani.
Again, thanks Sir.
 
Thanks too, Sir.
We live into the world, where by everyone can inspire anyone.
The same like you, you inspire alot of people here in JF. Some of them may appreciate it directly and some don't.
That is a truth Sir.
I really wish I could inspire peoples like others do in here.
I envy you coz you're no one who's someone, you can do something. But I'm merely no one who's no one. I envy you
 
I really wish I could inspire peoples like others do in here.
I envy you coz you're no one who's someone, you can do something. But I'm merely no one who's no one. I envy you
When you sit down and read between the lines, you will feel something inside your head start to click.......?

Somebody or Someone start to perceive like this..?
No One who Is Someone Vs No One who Is somebody?
No one Vs No Body?
Anyone Vs Anybody?
Someone Vs Somebody?

I envy you too cause you are Noble One.
 
Juzi kati nyoka wawili waliingia nyumbani mmoja kwenye mlimao mwingine dukani ni kaanza na wa dukani nikafunga milango yote ili asitoroke nikaanza kumsaka nikakutanae uso kwa uso akaanza kufoka ananivimbia nimkafata nikamgonga mbao ya shingo ikavunjika nikamtoa nje ile nam bonda bonda akatokea yule wa kwenye mlimao anakimbilia nikamkimbilia ni mshishie ubao wa kiuno akakosa uelekeo nikaua nikawarusha nje walipotokea....nyoka akitoroka hua nasikitika sana
Unaua house snake ambao niwapole Wala hawana sumu unajitapaaa
 
Sina urafiki na nyoka hata awe rafiki napiga nyundo ya kichwa
Wewe unaonea tu hawa wasio na sumu na wapole wanaokua majumbani, kama kweli unajiamini nenda tabora ukapambane na Koboko. Au siku ukimuona koboko jifanye unataka kumuua.
 
Wewe ukishajua kuwa eneo ilo kuna nyoka ndiyo chanzo cha mwili wako ku-react kama jamaa alivyoeleza hapo juu reaction yako ni red flag kwa nyoka,itajua ni hatari imemkabili, itaanza kujihami dhidi yako. Popote unapomuona nyoka tambua kwamba nyoka imejua uwepo wako eneo ilo kabla yako kuiona.. Hii ni kwasababu:- nyoka wanauwezo kujua aina ya kitu kilichopo umbali zaidi ya mita 100 kwa kusensi si kuona.so, unapomuona nyoka ujue yeye kashajua uwepo wako hapo muda mrefu tu.
Hivi nini faida kwa ya nyoka kwa mwanadamu...(ondoa kuliwa)
 
Back
Top Bottom