Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Hakuna kiumbe nakiogopa kama hiko [emoji119]
Shunie nyoka kama sio koboko ukiona amekung'ata labda umkanyage au ahisi unataka kumdhuru. Ila mara nyingi nyoka anaweza kulala nawe sehemu moja na asikuume
 
Shunie nyoka kama sio koboko ukiona amekung'ata labda umkanyage au ahisi unataka kumdhuru. Ila mara nyingi nyoka anaweza kulala nawe sehemu moja na asikuume
Aiseeee usiniquote Vinci nakuomba kwenye hii thread na usiku huu
 
Aisee jana tena nimenusurika kungatwa na nyoka nje ya nyumba. Alikua anagalagala kwenye tiles za nje anashindwa kutembea mm natoka ndani sijamuona..nashituka yupo karibu na mguu wangu.

Huini mara ya 4 nanusurika toka nilivyoandika huu uzi
 
Snake in the City, wanatumia dawa or??
 
Hakuna kiumbe nakiogopa kama hiko [emoji119]
Juzi kati nyoka wawili waliingia nyumbani mmoja kwenye mlimao mwingine dukani ni kaanza na wa dukani nikafunga milango yote ili asitoroke nikaanza kumsaka nikakutanae uso kwa uso akaanza kufoka ananivimbia nimkafata nikamgonga mbao ya shingo ikavunjika nikamtoa nje ile nam bonda bonda akatokea yule wa kwenye mlimao anakimbilia nikamkimbilia ni mshishie ubao wa kiuno akakosa uelekeo nikaua nikawarusha nje walipotokea....nyoka akitoroka hua nasikitika sana
 
Ngojea nitoe maoni yangu kwenye mada hii, ndugu mleta mada Da'Vinci huwa nasoma sana mada zako, naweza kuchukua siku mbili mpaka wiki na mada yako moja ni bahati mbaya sio mchangiaji sana.
Lakini lengo langu kusema hivi ni kukupongeza, niseme tu umejaliwa akili! Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…