Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

N
Nawaogopa mno,sitaki hata kuwaona kwa kweli
Nyoka hawana shida hasa hawa tuishio nao. Shida ni sisi tu ukorofi wetu...
Arusha Duka bovu/Monduli kuna mahali kunaitwa Snake park. Siku moja inabidi twende wote
 
Nyoka hawana shida hasa hawa tuishio nao. Shida ni sisi tu ukorofi wetu...
Arusha Duka bovu/Monduli kuna mahali kunaitwa Snake park. Siku moja inabidi twende wote
Hata uniambie utanipa na laki 3,sitaweza kwenda...Kuna sehemu nyingi za kutembelea sio hao wadudu
 
Hata uniambie utanipa na laki 3,sitaweza kwenda...Kuna sehemu nyingi za kutembelea sio hao wadudu
Inabidi tukae pamoja tuangalie Snake in the City. Au Africa deadliest Animals chanel 182
 
Aaah usinifanyie hivo mkuu, mwili unasisimka kabisa😪 kuna siku home natoka nje hamadi mzee baba huyu hapa nilikimbia kurudi ndani nikapanda kwenye kiti, mama ndiyo akatoka kumpiga aah alinicheka sana
😅😅😅
Kwanini wanawake mnaogopa sana nyoka na panya??
 
Sijui ni nini ila siwapendi hao viumbe😀😀
Binaadamu ndio wakorofi kuliko nyoka, unless awe black mamba.
Wengi waliong'atwa na nyoka walikua wamemkanyaga.

Ila sisi tukiona nyoka tu tayari tunatafuta fimbo...Ni kiumbe mzuri sana ukimfuga as pet. Unatembea nae mtaani umemfunga kamba🤗
 
Nyoka umfuge kama Pet? Mimi mazoea na huyo kiumbe hapana aisee.
 
Vipi na wachina wanaokula nyoka wanasisimkaje wakimuona nyoka? Mate yanawatoka au fight or flight syndrome kama wewe?
 
Mchawi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…