Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Inasemekana nyoka hupenda kukimbilia ndani/sehemu zenye joto kipindi hiki
Well said ChampπŸ†,
100 perc, I concur with you.

It's just, some addition information Sir.

First of all, lazima tuelewe kwamba Nyoka anatoka katika kundi la wanyama wajulikanao kama Reptiles, ambao joto la miili yao kwa kiasi kukubwa utegemeana na mazingira ya nje ya kiumbe hai ama outside environment. Kwa kisanyansi wanyama hao wanajulikana kama Ecto-thermic organisms.

So kipindi cha mvua joto la mazingira yetu hushuka kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri joto la miili ya viumbe hai aina ya Ectotherm. Hivyo ili kumantain joto la miili yao Ectothermic organisms akiwemo nyoka ukimbilia maeneo ambayo yapo covered na yana uwezo wa kucontain na kuhold up inside temperature kwa muda mrefu na maeneo hayo ni makazi ya mwanadamu. Mbali na hivyo shughuli za mwanadamu za kila siku kama vile kupika, kupasi na nyinginezo uzalisha na kuemit joto ambalo linakuwa contained ndani ya nyumba zetu kwa muda mrefu hivyo kupelekea ectothermic organisms kuwa approached na mazingira hayo.

I'm not prove it 100 perc but, Kipindi cha mvua wadudu wengi pamoja na wanyama wengi uzaliana mfano, senene, vyura, mbu, swala pamoja na panya. Kama tujuavyo panya ni chakula pendwa cha nyoka na panya anapendelea kuzunguka zunguka na kuishi katika mazingira yaliyo karibu na mwanadamu ili kujipatia chakula chake kwa urahisi.
So during the chase between Hunter(snake) and prey(rat) finally tunamkuta nyoka ndani ya nyumba zetu.

Nyoka hana shida na sisi bali mazingira ndiyo yanamfanya na kumshape kuja kuishi karibu na sisi.

So, lazima tuwe wakarimu kwa nature na kuheshimu haki ya kuishi kwa kila kiumbe hai.

Much Appreciation Compatriot,
Thanks for a lovely thread and comments.
Peace be upon you Sir.​
 
Splendid explanation, Salute.
Ahsante kwa kunijuza kinachofanya nyoka waingie ndani.
Bila shaka utakua mtu wa malisili Sir.

Thanks for compliments πŸ‘Š
 
Uadui kati ya NYOKA na mwanamke si ulioundika mkuu.

Upo very wrong
 
Thanks Sir,
Much appreciation, my lordπŸ™.

Hapana Kiongozi, I'm just a normal person who has a passion with nature.

Don't be surprised with that narration.
✌️
Thank you sir.
Karibu kwenye league ya random human persons...πŸ˜…
I like nature but not reptile spices. Reptile wanatisha muonekano n deadly
 
Sawa Monk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
I'm just messing around..πŸ˜…
Good luck,....oooh sorry Sir, maybe the best of luck will sound well for you.

Neema yake Mwenyezi Mungu iwe pamoja nawe na hekima yake ikushukie kuanzia kwenye ufahamu wako mpaka kwenye akili yako. Ukapate kuwa chombo chake na kutumika kwa ajili yake. Ukawe mfano kwa jamii iliyopotoka na kuwa habari njema kwa watu wote.

Ningependa siku moja uandike thread inayohusu maisha ya Mwanamuziki bora wa muda wote kutoka kwa Mungu "Michael Jackson"

Amani ya Yesu Kristu Mungu Mkuu ikawe pamoja nawe.
Much appreciation SirπŸ™​
 
Ahsante sana kwa kunitakia kheri.
Zikurudie nawe pia kama ulivyoniyakia.

Ningeandika kumuhusu MJ, ila kashaandikwa sana na wengi hivyo itaniwea ngumu. I like beein underdog and supporting underdogs. Napenda niandike vitu visivyofahamika kwa wengi.
Sorry for disappointing you
 
Thanks for compliments.
Worry out Sir'πŸ™.
 
Hii mada ina ukweli fulani hivi? Nilishawahi kulala na nyoka usiku nikiwa mtoto nilivyomaliza usingizi mikahisi kitu Cha baridi kipo ubavuni nikakisukuma na mkono kumbe bonge la nyoka tulikuwa kumuua asubuhi akiwa kajibanza kwenye Kona ya nyumba Tena tulikuwa tunalala watatu huko alipokuwa nyoka ndo tiliweka vichwa vyetu?
 
Umenirudisha class la pharmacology, kipengele cha Anaphylactic shock!

Asante sana kwa somo zuri
 
Ni ukweli na uhakika mzee. Fight and flight ndio adui wa nyoka. Ila huyo nyoka mlimuonea, yeye kaishi na yie siku zote hajawadhuru ila nyie kumuona tu mumemuua. Sio vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…