Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

Kwa mpangilio na tabasamu la mzee mwenzangu hapo anaweza hata anang'oa piss ya kwenda hapahapa ndani...😋
Halafu na wewe Classmate upitishe mchango ukafanyiwe hii tiba aisee! Shida utabadilika sasa na kuupoteza kabisa huu utambulisho wako kwenye avatar! 😁
 
Halafu na wewe Classmate upitishe mchango ukafanyiwe hii tiba aisee! Shida utabadilika sasa na kuupoteza kabisa huu utambulisho wako kwenye avatar! 😁
Hii avatar ni sukari ya mabebez haoa ndani😜
 
İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF.

Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa na Miaka 48 hivyo nahitaji Huduma ya meno bandia ya Kudumu, si Nita we za Kutafuna!? “

Mimi :”Ndyo Utaweza Kutafuna Chakula Vizuri , utatabasamu, Utajiamini, Utalinda Meno Mengine yasiharibike na Muonekano wako Utakuwa Mzuri Kama mwanzo”

Mzee: Itachukua Mda Gani Kukamilika Hiyo Kazi ?!
Mimi: Ndani ya masala 24 tu ukiweka Appointment

Mzee: Sawa Naomba Kujua Gharama zake
Mimi:
Kuna Acyrilic Tsh 100,000/= kwa Jino
Kuna Ceramics crown Tsh 350,000/=
Kuna Zirconium Tsh 400,000/=

Mzee: basi Nitakuja Feb 19 Asubuhi ili Feb 20 niweze Kurudi Mkoani

Mimi: Karibu Sana , Nitafurahi Kukuhudumia

Mzee : Sawa Nitafika bila Kukosa

Kweli Jana Mzee Kafika Offisini tukafanya Kazi Leo Feb 20 kapata meno Yake ya Kudumu safi

Nimeambatanisha Picha Za Kabla na Baada Ya Matibabu Kukamilika

Iwapo Una Tatizo la Meno unaeweza wasiliana nasi
📍DSM , Magomeni ( Appointment Tu )
Kibaha - Pwani ( Kila Siku )
📞: 0658950085View attachment 3242629View attachment 3242630

Lipia tangazo
 
Back
Top Bottom