Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

Mtu mweusi hata kama ni masikini usimwamini
miaka 17 iliyopita nilikuwa na ndoto za kumiliki printing industry kubwa nikaanza kuwatrain weusi wenzangu na kuwapa ofisi huku nikidunduliza tuwe kununua mashine kubwa na kujitanua... kumbe nimewapa mtaji na fitina wakanzisha za kwao maeneo niliyowapeleka ... kazi ikawa sasa kupambana na ndoto zangu vs uujuzi niliowapa... mweusi ni mavi ya kuku kabisa
 
Jamaa wale wahuni anakuuzia S 23 Utra kwa 250000..unaingia kchwa kichwa kuuziwa clone..
 
Ulitapeliwa kiboya sana. You learn and live
 
Jeshi la Polisi kitengo cha Cybercrime hawa watu ndo wangekuwa wana deal nao kwakuwa wanawaumiza wenzao kwa utapeli,Badala yake wanawasaka wakosoaji wa Serikali huku Matapeli wakiendelea kula raha

You're the first line of defense. Huwezi tapeliwa kiboya uanze kulalamikia polisi. Utapeli wa kiboya kama huu ni kuwachosha tu polisi, hapa wakulaumiwa ni wewe kwa kuingizwa mjini kijinga hivi. Use common sense mtapunguza lawama kwa wengine na kuwachosha polisi bure.
 
Kuna jamaa mmoja alishaniuzia copy ya samsung kwa sh 200k mwaka 2014 hapo mjini K/Koo.

iliniuma sana simu ilikuwa ile copy ya mwisho aisee! Tokea hapo nikawa makini sana kwenye ununuzi wa simu.
 
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29

Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""'

Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi kuchanganyikiwa na kutembea barabarani nikiongea pekee yangu hii ni baada ya kutapeliwa kiasi Cha laki Moja na elfu kumi.

Mkasa mzima ulikuwa hivi

Siku Moja katika pitapita zangu mtandaon nikakutana na tangazo la mtu anaedai kuwa anauza simu used kutoka dubai

Kwa kuwa nilikuwa na shida na simu wakati huo basi nikachukua namba zake kama inavyoonekana hapo chino.

Nikawasiliana nae vizuri akanipa utaratibu wote unavyokuwa, maskin wa Mungu nikamwamini (kosa kubwa sana)

Akanielekeza kuwa Simu zipo ukifka dukani ni sh laki Moja ila kwa mkoani unalipia nauli elfu kumi akasema kuwa unatuma Hela Kisha ndo mzigo wako unapelekwa kwenye basi tayari kwa kusafirishwa

Basi akanitumia namba yake ya M-pesa Hela nikatuma Jina likaja Jaffari Yusuph

Baada ya muda kidogo akanipigia na kuniambia Hela nimeiona Kisha akaniuliza nikuchagulie ya rangi gani

Mimi nikamwambia nyeusi akaniambia nimtumie taarifa zangu nikamtumia

Hela nilituma saa nne asubuhi kwa makubaliano kuwa muda huo huo anawapelekea hao wanaosafirisha kuja huku mkoani (ilitakiwa ije kahama)
Na alisema kuwa akiwakabidhi atanipigia Ili kunijulisha mzigo umekuja na bus la aina gani ,nikasema sawa

Imefika Saa nane mchana mtu Yuko kimya saa tisa kimya

Ilipofika saa kumi na Moja nikampigia kumuuliza je simu inakuja na kampuni gani . muda huo akili imeshaanza kuvurugika

Akaniambia simu imepelekwa stendi na aloipeleka bado hajarudi, akirudi atanijuza kwa hiyo nivute subira

Saa Moja usiku kimya akili ndo ikanirudi nikajua nishatapeliwa kupiga simu ikawa haipokelewi mwisho akaizima

Nikiri wazi nilitamani kujiua hiyo siku kutokana na kwamba nimeweza kumtumia kiasi chote hicho mtu Ambae simjui

Nilijilaumu mno nilihisi kuchanganyikiwa kiasi kwamba nilijiona Mimi ni mjinga wa mwisho

Hii itabaki kwenye historia ya maisha yangu yote

Tangazo ndo kama lilivyo hapo chini

Jaffari Yusuph, Jaffari Yusuph popote ulipo Mungu anakuona

N.B:Nisamehen kwa uandishi mbovu

View attachment 3523259View attachment 3523260
Pole sana, huo ndio utofauti wa biashara za mtu mweusi na muhindi na jamii zingine. Kosa lake kubwa alishindwa kuangalia market yake kwa upande wa wateja wa mtanzao, maana mtu mmoja angeweza mletea leads hata 3 kama trust miongoni mwao ingekuwepo.

Nadhani kuna hata haja Maxence Melo kuwa na jukwaa la scamming alerts. Kila mwenye jambo lolote lihusulo utapeli liwe mtu anaweza kupost kwakuweza kuweka ushahidi wakutosha katika madai yake. Ila jamii nzima ikawe aware na mtu huyo. Madhani hii itasaidi kubadilisha utamwaduni wa mtanzania katika biashara maana amekuwa ni mtu wakulalamikiwa ndani na hata nje ya mipaka katika biashara zake
 
Inaonekana huyo mwamba ndo mapigo zake hizo, mwingine huyu hapa...
Screenshot_20260101-103411.png
 
Nilipomuuliza ikiwa na kahama inaweza kufika akaniambia kahama hapo tunasafirisha simu karbia Kila siku basi nikajaa kwenye mfumo
Samsung ya laki 350 akuuzie laki moja? Ukisikia mtu anakwambia anatoa mzigo Dubai au Uk ujue huyo ni tapeli
 
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29

Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""'

Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi kuchanganyikiwa na kutembea barabarani nikiongea pekee yangu hii ni baada ya kutapeliwa kiasi Cha laki Moja na elfu kumi.

Mkasa mzima ulikuwa hivi

Siku Moja katika pitapita zangu mtandaon nikakutana na tangazo la mtu anaedai kuwa anauza simu used kutoka dubai

Kwa kuwa nilikuwa na shida na simu wakati huo basi nikachukua namba zake kama inavyoonekana hapo chino.

Nikawasiliana nae vizuri akanipa utaratibu wote unavyokuwa, maskin wa Mungu nikamwamini (kosa kubwa sana)

Akanielekeza kuwa Simu zipo ukifka dukani ni sh laki Moja ila kwa mkoani unalipia nauli elfu kumi akasema kuwa unatuma Hela Kisha ndo mzigo wako unapelekwa kwenye basi tayari kwa kusafirishwa

Basi akanitumia namba yake ya M-pesa Hela nikatuma Jina likaja Jaffari Yusuph

Baada ya muda kidogo akanipigia na kuniambia Hela nimeiona Kisha akaniuliza nikuchagulie ya rangi gani

Mimi nikamwambia nyeusi akaniambia nimtumie taarifa zangu nikamtumia

Hela nilituma saa nne asubuhi kwa makubaliano kuwa muda huo huo anawapelekea hao wanaosafirisha kuja huku mkoani (ilitakiwa ije kahama)
Na alisema kuwa akiwakabidhi atanipigia Ili kunijulisha mzigo umekuja na bus la aina gani ,nikasema sawa

Imefika Saa nane mchana mtu Yuko kimya saa tisa kimya

Ilipofika saa kumi na Moja nikampigia kumuuliza je simu inakuja na kampuni gani . muda huo akili imeshaanza kuvurugika

Akaniambia simu imepelekwa stendi na aloipeleka bado hajarudi, akirudi atanijuza kwa hiyo nivute subira

Saa Moja usiku kimya akili ndo ikanirudi nikajua nishatapeliwa kupiga simu ikawa haipokelewi mwisho akaizima

Nikiri wazi nilitamani kujiua hiyo siku kutokana na kwamba nimeweza kumtumia kiasi chote hicho mtu Ambae simjui

Nilijilaumu mno nilihisi kuchanganyikiwa kiasi kwamba nilijiona Mimi ni mjinga wa mwisho

Hii itabaki kwenye historia ya maisha yangu yote

Tangazo ndo kama lilivyo hapo chini

Jaffari Yusuph, Jaffari Yusuph popote ulipo Mungu anakuona

N.B:Nisamehen kwa uandishi mbovu

View attachment 3523259View attachment 3523260
Sio mazuri, Nina stress kibao,ila acha nicheke tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom