Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
- Thread starter
- #61
Wahuni ni wengiWengine wanapost kama hivyo ukiwauliza unapatikana wapi anasema Zanzibar
Wahuni ni wengiWengine wanapost kama hivyo ukiwauliza unapatikana wapi anasema Zanzibar
Tushirikishe na sisi Ili tufurahi kwa pamojaSio mazuri, Nina stress kibao,ila acha nicheke tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kahama nimekuja kiutafutaji na Wala siyo kwamba Mimi ni msukumaUkajua tu huyu msukuma
Sikuona huu Uzi mapema pengine ningeiokoa Hela yanguInaonekana huyo mwamba ndo mapigo zake hizo, mwingine huyu hapa... View attachment 3523576
OkayKahama nimekuja kiutafutaji na Wala siyo kwamba Mimi ni msukuma
Kahama ni wA kuja tu Wala sio kwamba mzaliwa wa hapa nipo kiutafutajiUliposema kahama tu ni kaacha kusoma
Ni kweliPole kwa changamoto!, binadamu tunajifunza kupitia makosa.
Uaminifu bado changamotoKufanya kazi na mtanzania inahitajika roho ya chuma.