miaka 17 iliyopita nilikuwa na ndoto za kumiliki printing industry kubwa nikaanza kuwatrain weusi wenzangu na kuwapa ofisi huku nikidunduliza tuwe kununua mashine kubwa na kujitanua... kumbe nimewapa mtaji na fitina wakanzisha za kwao maeneo niliyowapeleka ... kazi ikawa sasa kupambana na ndoto zangu vs uujuzi niliowapa... mweusi ni mavi ya kuku kabisaMtu mweusi hata kama ni masikini usimwamini
Jeshi la Polisi kitengo cha Cybercrime hawa watu ndo wangekuwa wana deal nao kwakuwa wanawaumiza wenzao kwa utapeli,Badala yake wanawasaka wakosoaji wa Serikali huku Matapeli wakiendelea kula raha
Tayari nimeshatuliaTulia ngosha upigwe
Ni kweliUlitapeliwa kiboya sana. You learn and live
Shukran mkuuPole mkuu
Pole sana, huo ndio utofauti wa biashara za mtu mweusi na muhindi na jamii zingine. Kosa lake kubwa alishindwa kuangalia market yake kwa upande wa wateja wa mtanzao, maana mtu mmoja angeweza mletea leads hata 3 kama trust miongoni mwao ingekuwepo.Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29
Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""'
Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi kuchanganyikiwa na kutembea barabarani nikiongea pekee yangu hii ni baada ya kutapeliwa kiasi Cha laki Moja na elfu kumi.
Mkasa mzima ulikuwa hivi
Siku Moja katika pitapita zangu mtandaon nikakutana na tangazo la mtu anaedai kuwa anauza simu used kutoka dubai
Kwa kuwa nilikuwa na shida na simu wakati huo basi nikachukua namba zake kama inavyoonekana hapo chino.
Nikawasiliana nae vizuri akanipa utaratibu wote unavyokuwa, maskin wa Mungu nikamwamini (kosa kubwa sana)
Akanielekeza kuwa Simu zipo ukifka dukani ni sh laki Moja ila kwa mkoani unalipia nauli elfu kumi akasema kuwa unatuma Hela Kisha ndo mzigo wako unapelekwa kwenye basi tayari kwa kusafirishwa
Basi akanitumia namba yake ya M-pesa Hela nikatuma Jina likaja Jaffari Yusuph
Baada ya muda kidogo akanipigia na kuniambia Hela nimeiona Kisha akaniuliza nikuchagulie ya rangi gani
Mimi nikamwambia nyeusi akaniambia nimtumie taarifa zangu nikamtumia
Hela nilituma saa nne asubuhi kwa makubaliano kuwa muda huo huo anawapelekea hao wanaosafirisha kuja huku mkoani (ilitakiwa ije kahama)
Na alisema kuwa akiwakabidhi atanipigia Ili kunijulisha mzigo umekuja na bus la aina gani ,nikasema sawa
Imefika Saa nane mchana mtu Yuko kimya saa tisa kimya
Ilipofika saa kumi na Moja nikampigia kumuuliza je simu inakuja na kampuni gani . muda huo akili imeshaanza kuvurugika
Akaniambia simu imepelekwa stendi na aloipeleka bado hajarudi, akirudi atanijuza kwa hiyo nivute subira
Saa Moja usiku kimya akili ndo ikanirudi nikajua nishatapeliwa kupiga simu ikawa haipokelewi mwisho akaizima
Nikiri wazi nilitamani kujiua hiyo siku kutokana na kwamba nimeweza kumtumia kiasi chote hicho mtu Ambae simjui
Nilijilaumu mno nilihisi kuchanganyikiwa kiasi kwamba nilijiona Mimi ni mjinga wa mwisho
Hii itabaki kwenye historia ya maisha yangu yote
Tangazo ndo kama lilivyo hapo chini
Jaffari Yusuph, Jaffari Yusuph popote ulipo Mungu anakuona
N.B:Nisamehen kwa uandishi mbovu
View attachment 3523259View attachment 3523260
PoleniMkuu tamaa nahis ndo iliniponza na kupenda vya mtelezo
Samsung ya laki 350 akuuzie laki moja? Ukisikia mtu anakwambia anatoa mzigo Dubai au Uk ujue huyo ni tapeliNilipomuuliza ikiwa na kahama inaweza kufika akaniambia kahama hapo tunasafirisha simu karbia Kila siku basi nikajaa kwenye mfumo
Ukajua tu huyu msukumaUliposema kahama tu ni kaacha kusoma
Sio mazuri, Nina stress kibao,ila acha nicheke tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29