goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi walishawahi nidaka kwa hivyohivyo Kama mtoa mada kilichoniokoa ni polisi walikuwaja jirani wakifikiri tunavuta bangiNimewahi kukutana na watu kama hao posta. Aisee ilibaki kidogo nitapeliwa nashukuru Mungu niliwahi kusikia story ya mtu aliyetapeliwa kwa njia hiyo hiyo. Nilifanikiwa kuwatoroka
Umewahi kusikia mchawi tapeli tajiri kupindukia?Hv hizi pesa hawa jamaa huwa wananufaika nazo sana kama kujenga nyumba za kisasa kumilik usafir au huwa wanaishia kutumia kwa matumiz ya kula tu
Hiyo avatar inanikumbusha mbali sana
Huna nyota ya Bahati!! hao nimesha kutana nao sana!! taaangu nikiwa seco. na karo zangu hawakuniweza!.....namie nilikuwa nawafanyia usanii mmoja alitaka nidhurumu simu palee magomeni Morocco!
baada ya mazungumzo marefuuu alisema hebu tuone simu yako nimuite Padre nikampa simu imefungwa na rubber Band siyo za dunia hii!! ikabidi acheke wala sikuwa na wais wasi nenda kapigie hata huko nje!
akazuga kidogo akanambia padre hapokei simu!.....soda misosi yake nikanywa na kula bureee!! kifupi mie ndo nilifaidi! mwingine kaja ofisini ke wa kiarabu mzuriii! kabisaaa
anakasema ataka kwenda Tanga, kuchukua biashara so nimkopeshe Laki moja tu! nikasema sawa mbona hiyo kidogo tu! ila nisubiri hapo naenda Bank kukuchukulia! akasubiri weeee! mpaka leo! anasubiri!
halafu hawanaga kumbukumbu nzuri siku nyangine usiku nakula zangu chips! kwa kioski kaja huyo huyo! kwa mambo yale yale!..nikwambaia nilikwambia siku ile unisubiri nirlipo rudi sija kukuta kumbe hukupata??
dada wa watu kakata moto palepaleee akawa wa baridiiiii!!...........
Sijawah sikiaUmewahi kusikia mchawi tapeli tajiri kupindukia?
Pole sana mkuu....
Mimi pamoja na kuzurura kote mitaa ya kariakoo, karume , ilala...sijawahi kukutana na hawa watu...naskia story tu kwa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikutana nao manzese ananiuliza ofisi gani sijui ya kuuzia madini yake
Huwa nna jicho langu moja namwangalia nalo stranger ataamua abaki au aondoke
hao huwa pia wanaangalia na watu wa kuwatapeli, dawa wanazo ila inategemea na reception atakayoipata na hao jamaa 90% sura zao ukiziona tu unajua ni tejaHuna nyota ya Bahati!! hao nimesha kutana nao sana!! taaangu nikiwa seco. na karo zangu hawakuniweza!.....namie nilikuwa nawafanyia usanii mmoja alitaka nidhurumu simu palee magomeni Morocco!
baada ya mazungumzo marefuuu alisema hebu tuone simu yako nimuite Padre nikampa simu imefungwa na rubber Band siyo za dunia hii!! ikabidi acheke wala sikuwa na wais wasi nenda kapigie hata huko nje!
akazuga kidogo akanambia padre hapokei simu!.....soda misosi yake nikanywa na kula bureee!! kifupi mie ndo nilifaidi! mwingine kaja ofisini ke wa kiarabu mzuriii! kabisaaa
anakasema ataka kwenda Tanga, kuchukua biashara so nimkopeshe Laki moja tu! nikasema sawa mbona hiyo kidogo tu! ila nisubiri hapo naenda Bank kukuchukulia! akasubiri weeee! mpaka leo! anasubiri!
halafu hawanaga kumbukumbu nzuri siku nyangine usiku nakula zangu chips! kwa kioski kaja huyo huyo! kwa mambo yale yale!..nikwambaia nilikwambia siku ile unisubiri nirlipo rudi sija kukuta kumbe hukupata??
dada wa watu kakata moto palepaleee akawa wa baridiiiii!!...........
lkn pia wanaangaliaga hasa ukishangaa shangaa!! au km umevaaa Laizoni, usoni umepaukaaa kidogo hata upake mafuta....sura ya mjini na ya pori tofautiiii... wanajua enheeee! huyu wakuja!Tapeli akiongea maneno 7 nshamjua