Jinsi Nilivyotengeneza Million 5 kwa Mwezi kupitia Biashara ya Chakula Dar es Salaam, Maeneo ya Mwenge

Watu wanadhani kutumia fake IDs kunawatenga na maisha yao halisi,ktk kosa sitokaa nifanye ktk mazingira yoyote ni ku-fake uhalisia wangu hata kama sijulikani nina kitu sina kitu is up to me haina haja ya kumfurahisha mtu nisiyemjua tena kwa kusema uwongo.

Unasema una hiki una kile kumbe huna chochote unajifurahisha tu kesho unarudi kulia huna hiki una shida ya kile mbele ya wale uliowaringia jana na me nadhani ndiyo unazidi kujitia pin kwa kuonekana tapeli na hamnazo,mimi hizo mada zake akilalamika njaa nilizisoma nikaishia nusu ya mwisho nimeiona jana anasema maisha yake sijui yamefika wapi nikaachana nazo.
 
Alitaka kujinyonga 😂 sasa sijui
 
Sijui ni Utoto mwingi lakini hapana kajoin 2012 ana utoto gani?😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom