Jinsi Nilivyotengeneza Million 5 kwa Mwezi kupitia Biashara ya Chakula Dar es Salaam, Maeneo ya Mwenge

mkuu hongera sana na zaidi ya hapo mshukuru sana mungu kwa kukuonyesha njia yako..kwani kila binadamu ameumbwa na hatima yake yaani kipawa maalum..na kwako ww hiyo biashara ndio hatima yako ya kukuletea mali na pesa usichukulie poa kwani ukibahatika kujua kipawa cha hatima yako basi kila utakachokifanya kilicho kwenye njia ya hatima yako au kinahusiana na hatima yako basi kinageuka dhahabu na kukuletea mafanikio makubwa yatakayokubadilishia maisha yako kuwa level ya juu zaidi..huko mijini wengi wnafanya biashara zinazofanana wanaishia kupata tu hela ya kula,kodi na mahitaji madogo madogo lakini biashara wanazofanya hazibadilishi maisha yao wako pale pale miaka yote sababu biashara wanazofanya sio za hatima zao ila wamejishikiza tu siku ziende..ila sasa kuijua biashara ya hatima yako ndio kimbembe ni shughuli pevu kama sio mtu wa kujaribu jaribu kila fursa japo wengine wanapata bahati tu biashara anayoanza ndio ya hatima yake..endelea kujichunguza kwenye hiyo biashara mkuu labda ndio unajipata kwenye hatima yako na kipawa chako alichokupa mungu.
 
Amina boss japo malengo yangu hayajawahi kuwa ya aina hii ya biashara
 
Kodi ya pango ulilipa kwa miezi mingapi? Na mtaji wa chakula ukawa nao sh ngapi?

Unaweza kuwa na mantiki ila tafadhali usitaje amount ya mtaji kihunihuni. Hongera kwa kazi nzuri
Kwani alipanga? Si aliongea na mtu mwenye frame ukiwa mwongeaji hata wanaopNgisha miezi 6 au mwaka wanaweza kukupa frame ukiwa umelipa mwezi mmoja tatizo lenu mnapenda madalali kuwa DALALI mwenyewe
 
Amina boss japo malengo yangu hayajawahi kuwa ya aina hii ya biashara
ndivyo ilivyo mkuu mara nyingi zile biashara ambazo huziwazii kabisa wala kuzifikiria ndio zinakuwaga za hatima..na hiyo hatima inaweza kuwa kwako au mfanyakazi wako uliemuajiri..kwahiyo biashara yako kama sio ww unaibeba basi atakuwa ni huyo mpishi wako ndio mwenye hatima na hiyo biashara yako yaani ana muunganiko nayo kiroho..kama ni hivyo mshikilie kwa kumlipa vizuri.. ushawahi sikia watu wanaanzisha partership ya biashara au ofisi lakini siku mmoja akijitoa biashara inayumba au kufa kabisa basi huyo hatima yake ndio inaibeba hiyo biashara..au umemuajiri mtu siku akiondoka au kuacha kazi biashara inakuwa haileweki tena sababu aliyeondoka hatima yake na hiyo biashara zinaendana kiroho..pia unaweza kutajirika na kufanikiwa kibiashara hata kama hio biashara sio ya hatima yako ila utapaswa uwe pembeni ubaki kuwa mwanzilishi ma mmililki ila uajiri mtu mwingine ambae kipawa au hatima yake inaendana na hiyo biashara mfanye kuwa ndio msimamizi mkuu au bosi kwenye hiyo biashara yako na ww uwe unapokea hesabu na mapato tu..itapendeza wakiwa zaidi ya mmoja wenye hatima zinazoendana na biashara yako siku akiondoka mmoja biashara haitoyumba kwani mwingine anaendana na ile biashara yupo na kama ww mmliki hatima yako inaoana na biashara hiyo hata watoto wako na wajukuu wataikuta sababu ndio asili yako..
 
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom