Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana.Asante sana boss
😄😄😄 Wateja wa aina ya 'nna hela zangu' huwa tunawapenda ingawa Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ni matapeli 😄😄😄Waafrika tulivyo wazito kusoma, hapa nna hela zangu 'utasikia' wewe nipe garama za hayo makitu yote, mimi sina muda kuanza kusoma sijui mlango uangalie mlima Meru, mara dirisha liangalie kushoto.
Hapo ni kwa wenye muda kuanza kufuatilia.
Asee tuchekiane basi kama vipi. Nafikiri tunaweza fanya kitu kama hutojali.Nipo Arusha mkuu
Asante sana, unajua wenzetu kama wafilipino wameweza kuendelea kwa ku-share mawazo/ujuzi kiasi kwamba wako mbali. Kuna kitu unaweza ukawa nacho mimi sina, vile vile nilichonacho usiwenacho, lakini tukiunganisha vitatuvusha ng'ambo. Wataalamu wa Bongo akishapata degree na kauzoefu basi wanajiona wamemaliza kila kitu, utamsikia njoo inbox. Matokeo yake kila mtu anabaki na uchoyo wake.Karibu mkuu
Pamoja sana mkuu. Umoja ni nguvu. Huwa napenda kubadilishana mawazo katika kazi hizi. Huwa ndiyo njia tuliyonayo kuboresha kazi zetu.Asante sana, unajua wenzetu kama wafilipino wameweza kuendelea kwa ku-share mawazo/ujuzi kiasi kwamba wako mbali. Kuna kitu unaweza ukawa nacho mimi sina, vile vile nilichonacho usiwenacho, lakini tukiunganisha vitatuvusha ng'ambo. Wataalamu wa Bongo akishapata degree na kauzoefu basi wanajiona wamemaliza kila kitu, utamsikia njoo inbox. Matokeo yake kila mtu anabaki na uchoyo wake.
Hii mitandao husaidia watu wa hali ya chini kunyanyuka wakiitumia vizuri. Soko nchini ni kubwa mtu haeezi kukimbiwa. Na wayeja kwa kushare utaalamu wake bali ndio anajiongezea wigo kufahamika na wa kupata wateja wengi. Endelea na moyo huo.