Jinsi ninavyo design (+ kanuni za design) Ep. 01: 3 bedroom house #01

Je ramani żako Zina underground floor means kua na nyumba ya chini within a house?
 
HENRY14 , apart from hii design ya Tengeru House, unazo designs zinginezo ambazo ni kazi ya mikono yako mwenyewe? Residential.
 
Ninazo mkuu ila lately ninebanwa sana sijaweza kupost. Hata hiyo tengeru house bado sijaimalizia post yake
 
Maswali Kadhaa ya kichokozi.Tujikumbushe Presentation

1.Mbona haujataja "CASE STUDY" ?,mana nayo ni moja kati ya element muhimu sana katika Design.

2.Concept
-Concept yako ni ? ANCHOR WALL au Private and public rooms decided by wall
-And Kuna private room ipo upande public zones ?

3.Njia 8 za kuingia na kutoka ndani ya nyumba ya makazi..
-mtoto atagewa funguo zake.
-hapo si nyingi sana.
-Suala la usalama limekaaje

4.Ni Open floor plan
-Loaction ya TV,haitoleta mtafaruku ya movement ya watu kama kuna kipindi pendwa kinaonesha...?

-Mtu aliyopo sebureni anaona kila part ya Jengo na kuona kila movement, je ni sawa...?

5.Suala la Privacy...
-Hauoni kuwa kelele za sebreni ni rahisi kwenda vyumbani...?
-mifarakano chumbani ni rahisi kuja sebureni na dinning.

6.Orientaion.
-Kuna swali umejibu na kusema bedrooms tatu zipo mashariki na Floor plan inaonyesha zipo Kaskazini, imekaaje hapo...?

7.Mwanga lounge na dinning...
-Verandah ina upana wa 3M na height ya 2.8M...ina majority ya mwanga utakao enda ndani ni wa kudunda kutoka kwenye floor.

-Pia kumbuka hizo openings zipo magharibi, so mwanga upande huo utakuwa 100% kuanzia saa 6 mchana

-Kuna madirisha umeziweka,lakini zipo mashariki,na check height zake

-Dirisha lipo kusini kwenye outdoor lounge,ambapo napo kuna slab,hence itazuia direct sunlight

-Kuna Risk ya Glare hasa from madirisha.

Ushauri...
-Fanya simulation test ya mwanga iwe na precise location ya eneo na Orientation (Revit inayo)

8.Baridi.
Arusha ni mkoa wa baridi.Design itaweza kuhakiksha Jengo linakuwa comfortable temperatures...
 
And Hongera sana kwa kuwaonesha watu the knowledge put foward in Designing a building..
Na kwanini Professionals ni muhimu kwenye miradi yao.
 
Je ramani żako Zina underground floor means kua na nyumba ya chini within a house?
Samahani nimechelewa kuona swali lako. Unamaanisha basement/semi basement siyo? Kuna wakati nilipata client mwenye site mlimani kidogo, semi basement ikahusika.
 
Maswali Kadhaa ya kichokozi.Tujikumbushe Presentation

1.Mbona haujataja "CASE STUDY" ?,mana nayo ni moja kati ya element muhimu sana katika Design.

2.Concept
-Concept yako ni ? ANCHOR WALL au Private and public rooms decided by wall
-And Kuna private room ipo upande public zones ?

3.Njia 8 za kuingia na kutoka ndani ya nyumba ya makazi..
-mtoto atagewa funguo zake.
-hapo si nyingi sana.
-Suala la usalama limekaaje

4.Ni Open floor plan
-Loaction ya TV,haitoleta mtafaruku ya movement ya watu kama kuna kipindi pendwa kinaonesha...?

-Mtu aliyopo sebureni anaona kila part ya Jengo na kuona kila movement, je ni sawa...?

5.Suala la Privacy...
-Hauoni kuwa kelele za sebreni ni rahisi kwenda vyumbani...?
-mifarakano chumbani ni rahisi kuja sebureni na dinning.

6.Orientaion.
-Kuna swali umejibu na kusema bedrooms tatu zipo mashariki na Floor plan inaonyesha zipo Kaskazini, imekaaje hapo...?

7.Mwanga lounge na dinning...
-Verandah ina upana wa 3M na height ya 2.8M...ina majority ya mwanga utakao enda ndani ni wa kudunda kutoka kwenye floor.

-Pia kumbuka hizo openings zipo magharibi, so mwanga upande huo utakuwa 100% kuanzia saa 6 mchana

-Kuna madirisha umeziweka,lakini zipo mashariki,na check height zake

-Dirisha lipo kusini kwenye outdoor lounge,ambapo napo kuna slab,hence itazuia direct sunlight

-Kuna Risk ya Glare hasa from madirisha.

Ushauri...
-Fanya simulation test ya mwanga iwe na precise location ya eneo na Orientation (Revit inayo)

8.Baridi.
Arusha ni mkoa wa baridi.Design itaweza kuhakiksha Jengo linakuwa comfortable temperatures...
Asante sana mkuu kwa maswali, mawazo na ushauri. Naomba nijaribu kukupa majibu kadri niwezavyo kwa design hii.

niliandika li essay lirefu nikarudi kupunguza maneno 😂😂😂

1. 'Case study' ama 'precedent study'.

Kweli nikifikiria sasa naona ingekuwa muhimu kusema juu ya hili ingawa wakati naandika hii post niliona siyo lazima kuiweka. Kwa faida ya umma, case study ni kama kudesa kwa waliotangulia. Mimi nikifanya case study ni nakua natafuta 'inspiration' na pia kufanya 'analysis' ama uchambuzi wa mawazo ya wenzangu kupitia kazi zao. Nitachora diagrams kama sections, circulation, massing, zoning, nk. Kuna vitu huwa natafuta kwenye kazi za architects wengine navikoroga kwenye projects zangu. Mfano kazi za Steven Holl, Alvaro Siza na Diller Scoifidio + Renfro napenda kuzistudy na zimeinfluence kazi zangu ila siyo rahisi kuona kwenye designs zangu haswa kibongo bongo kwa mtu anayetaka. Miaka inavyokwenda, hii sytem inaanza kuwa 'intuitive'.

Nyumba hii imeborrow sana maujanja ya Steven Holl, Peter Stutchbury na Jim Olson 😂😂

2. Concept

Huwa napenda kusema kuwa neno 'concept' haswa kwa vyuo vya bongo, ni neno walimu wanalopenda kutumia kuwatesa au kuwasumbua wanafunzi waone kama 'concept' ni booonge la issue kumbe walaaa, ni 'idea' au 'wazo' tu unalopata na unalichekecha kuinfluence design yako na saa zingine 'concept' huzaliwa na "process".

Mfano, design concept hii mwanzoni niliita 'slash' na ilikuwa influenced na idea
ya samurai mwenye upanga mkali anakata kitu kwa movement moja (ushaonaga movie ya Ninja Assassin?😂 ) Wazo hilo likajichanganya na upangaji wa site na kuzaa 'anchor wall' na 'anchor wall' ikabeba muelekeo wa project.

Huwa siwi 'mtumwa' wa concept, ingawa ukiangalia hii design, unaweza sema private functions zimeingiliana na public functions bila 'concept' kupotea.

3. Njia za kuingia vyumbani.

Kwa mteja huyu, access kwa veranda kwa kila chumba ni muhimu. Ni design iliyoangaliwa ki hotel/bnb zaidi.

4. TV location

Haikusumhmbua sana maana mtu kukatiza mbele ya TV ni kitu cha sekunde tu..

5. Suala la privacy na kelele za chumbani..

Kwa design ya kabati lilivyo upande wa ukuta wa sebuleni, kuna ki sound insulation flani. Huu ni mfano wa kuintegrate millwork kuperform double function..

6. Orientation,

Itabidi nichek wapi nilijibu kuwa bedrooms 3 ziko mashariki, labda nilikuwa siko sawa. Kweli orientation niliyotaka ni Magharibi-mashariki kuliko kaskazini-kusini ili kupunguza glare. Muda wa jua kuwa juu ya bati uwe mwingi kuliko kupiga madirisha. Nikija kwenye section nimeangalia namna ya kufanya cross ventilation.

7. Mwanga wa dining na lounge.

Kwa kweli sikutaka direct sunlight. Nilitaka light iwe reflected. Kuna developments nilizingatia katika kudesign section ili iwe hivyo. Unavyoona ndivyo nilivyotaka (zile precedent za kina Steven Holl nilizozisema mwanzoni, huku ndipo zehemu zake za kujidai 😂😂). Suala la glare tunaanza kupambana nalo kwa kucheza na surfaces. Mfano hiyo baraza ikiwa ya terracotta....

Kuhusu simulation test. Asante sana kwa ushauri huu mkuu. Sikufanya kwa Revit ila nitafanya. Nilitumia tu solar chart kishkaji ili kujipa idea. Nikifika kwenye kuelezea design kwa section, natumaini nitaelezea hili.

8. Baridi.

Kwa kweli mimi ni mwenyeji wa Arusha. Arusha ya miaka hii siyo kama ya miaka ile. Baridi ya Arusha imebaki story tu au ni kidogo miezi flani. Suala la kuvaa sweta na kujifunika ukilala. Ila shida kubwa ninayodeal nayo ni jua kali na joto siku hizi, siyo baridi. Mfano upande wa magharibi nataka nipande miti mbele ya dirisha na ukuta ili jua lisipige ukuta na dirisha.

Natumaini nimejitahidi kujibu kiasi flani queries zako. Tujitahidi kuendelea kuelimisha umma kuhusu haya mambo yetu
 
1.On Concept
-Kuweka Juhudi zaidi on coming up with best concept.
-Concept huleta simulizi nzuri kweli jengo lako.
-Slash (Japanese sword,Katana),ina features zifuatazo.
  • made of steel: central wall uwe tough as steel
  • Sharp :
  • Used by Samurai (nobles): ukute u posses mini-bookshelves,msoma vitabu huwa ni mtu noble kimaarifa
  • Shines : fanya section ya juu ya ukuta (kuanzia 2m) iwe ina Reflect light kutoka kwenye madirisha ya juu to whole living room...may be iwe white mables/terrazzo.
  • Grey in colour : wall inaweza kuwa finished with fine greyish stones,Arusha ina miamba mingi.
2.CASE STUDY
-Ever wonder kupitia kazi important Architects in Tz,Anthony Almeida and Russel Henderson.
-Maghorofa ya mjini ya kikoloni mengi yana brilliant ideas of manipulating light,mana yalifuata Modern style.

3.Kwenye Mwanga.
A.Nakushauri, usitegemee mwanga wa reflection from floor.mana
-From Verandah step mpaka kwenye T.V kuna 8M,height ya slab ni 2.8
-Direct light ita reach umbali wa 2.9.
-Kumbuka Lounge wanaweza weka carpet for feet comfort comfortability.
-Lakini pia mwanga kabla hauja ingia ndani uta dunda kwenye kioo,utapungua tena nguvu.
-Pia kumbuka Orientation yake inapunguza mda wa jua kuwepo that side.

3.Kwenye Heat
-Check the Historical average temperature ya Tengeru area.
-Play well na uchaguzi wa materials.
-Madirisha
-Miti isiwe mirefu sana, nayo itakata upepo
-Kuna makala niliandika, nimeelezea mambo kadhaa juu ya udhibiti wa Joto.

GOOD DAY
 
Asante sana mkuu. Maarifa mengi haya yatanisaidia sana.

Changamoto yangu kwa upande wa Tanzanian Architects ni sina exposure nao. Nnayeweza kumtaja kwa jina ni Almeida pekee. Wengine naona kazi zao, nazipenda, naulizia watu "huyu architect alikuwa nani?" ila walioweza kuwajua wakiniambia, muda mfupi tu nasahau.

Kuhusu concept ya katana, maelezo yako yameendana kweli na jengo linaolekea kutokea. Utaona pia kuna contradiction moja kubwa kati ya concept yangu ilipoanzia na "slash" na kuishia na "anchor wall", kwa purists wa concept: Ku "slash" kwa katana si kugawanya na kuachichana? Lakini "anchor wall" inauganisha/shikanisha? Mwanzo nilismema mimi siwagi mtumwa wa concept saa zingine ila hii contradiction kuna design ya mwanzo kabisa ya plan nitaipost, utaona namaanisha nini maana initially niliweka walkway/corridor kati ya private na public areas ili ziwe separated kwa slash haswaa 😂

Nitafanyia kazi suala la light zaidi ninavyo develop section. Asante sana mkuu, umekuwa msaada mkubwa sana.
.
 
Famous Tanzanian related architects
1.David Adjaye -huyu ni Tanzanian born ila ni Ghanaian.He knows how to work with materials and light.

2.Anthony Almeida-Tanzanian with Indian origin.went through several of his works ,
  • St.Xavier school (Kibasira)
  • His house (ipo CoCo beach),nilishafika hapo kwake,met her daughter and I couldn't meet the guy,alikuwa mgonjwa.
  • TANU TANGA HQ
  • GOA CLUB
  • Mkataba Kuu,nshafika hapa back in secondary.
  • NIC Building.
  • HARBOUR Tower.
  • Christian Chapel at UDSM
3.Beda Amuli-First Black Architect in East an Central Africa.
-ila mjamaa alikuwa muumini wa brutalist style.
  • Kariakoo market
  • JK Airport
4.Russel Henderson-British ila anafanya kazi Tz,Huyu nilikutana naye just kwa bahati ilikuwa sherehe.
Yupo vizuri kwenye Eco design.
Morocco square

5.NORMAN DAWBAN - Hii ni British firm ina ofisi pale Sofia House...nao wana pure designs.

6.IAN PATIE - Hii kampuni nao wapo so dope.seen several of their works.
Though walinikataaga nilivyoenda kuomba internship. 🤣🤣🤣

Ila kuna Kijana mwenzetu anaitwa Matthew Maganga,
Nimemuona kwenye several articles, just last week.ila he is working in UK..bado sijapata mda wa kumsoma vizuri

I ain't Undermining those West Architects,wapo kibao nawafuatilia.
Ila those mentioned guys,wanaielewa Tanzania kuliko,,
Zungukia majengo Modern hapo Arusha mjini,be quiet and listen to them utaona yanajarribu kukuelezea what the designer were thinking.
 
Katana's Slash
-just one slash na inakata deep.
-That ukuta inakata the normal way sisi watanzania tunavyofikiri kwamba lazima kuwe na korido.
-So even bila Korido bado unaweza ku-provide vitu vifuatavyo.
  • Separation of space kati ya Lounge na space ya kutembelea,either kwa floor finish
  • Kuzuia movement ya halijoto from Living areas to Bedrooms
-Unajua Traditional Japanese house hazikuwa na Korido.

Fanya rejea
-Form space and Order by DK Ching
-Tadao Ado,Kenzo Tange -wajapani hao,
-Peter Zumthor,

Yote ya yote
DESIGN YAKO YAELEKEA PAZURI.
 
Asante bro.

David Adjaye nampata vizuri. In fact jamaa yangu mmoja classmate wa chuo ni mmoja wa directors kwenye firm yake. Ningekuwa na malengo ya kupiga kazi London ningekuwa na ka connection cha kuanzia vizuri kabisa 😂😂😂 ila ndiyo hivyo tena 😂😂😂

Adjaye bhana kazaliwa tu hapa ila hana chochote kingine cha kutupa haki ya kumuita Tanzanian architect 😂😂😂

Almeida na Amuli nawatambua ila wengine siwajui. Kuna vijana hapo Dar nawakubali kama mmoja anaitwa David, kuna Francis, kuna Alan....ambao nimepata bahati ya kufanya nao kazi moja kwa moja na kujisemea moyoni "huyu ana kitu, atafika mbali" ingawa mimi mwenyewe bado sana 😂😂😂😂

Nitafanya utafiti kama ulivyonishauri
 
Katana's Slash
-just one slash na inakata deep.
-That ukuta inakata the normal way sisi watanzania tunavyofikiri kwamba lazima kuwe na korido.
-So even bila Korido bado unaweza ku-provide vitu vifuatavyo.
  • Separation of space kati ya Lounge na space ya kutembelea,either kwa floor finish
  • Kuzuia movement ya halijoto from Living areas to Bedrooms
-Unajua Traditional Japanese house hazikuwa na Korido.

Fanya rejea
-Form space and Order by DK Ching
-Tadao Ado,Kenzo Tange -wajapani hao,
-Peter Zumthor,

Yote ya yote
DESIGN YAKO YAELEKEA PAZURI.
Asante sana mkuu.

Form, space and order nafikiri nimekisoma cover to cover. Nitakitafuta upya.

Kuhusu Japanese architects, niliwafuatilia sana kipindi fulani maana niliwaona wako vizuri kwa planning ya space ndogo sema ndiyo hivyo kuna mambo ya culture yao wanaweka kwenye hatuwezi iga huku unless ni uswazi (mambo ya vikuta vya karatasi mara common bedrooms, sasa shughuli za baba na mama inakuwaje? Uswazi hawajali ila watoto wa town je 😂😂)

Tadao Ando, Sanaa, Hiroshi Nakamura, Kengo **** (**** alikuja kupiga lecture chuoni nilihakikisha sikosi 😂😂 ili wakati wa maswali ninyanyue mkono na nihakikishe namuaddress kwa jina lake _ utani bhana jamaa ana madini si ya dunia hii).

Kwa kifupinmimi napenda sana kufuatilia architects mbali mbali na nakiri kuwa knowledge na studies zangu kwenye sector hii bado ni ndogo sana . Sasa nataka nitulie nianze kumstudy Mariam Kamara.
 
Back
Top Bottom