Jinsi ninavyo design (+ kanuni za design) Ep. 01: 3 bedroom house #01

Pamoja sana mkuu. Umoja ni nguvu. Huwa napenda kubadilishana mawazo katika kazi hizi. Huwa ndiyo njia tuliyonayo kuboresha kazi zetu.
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165 napatikana Dar es salaam pia nna kampuni ya ujenzi lupama Engineering.
 
Asante sana mkuu.
Kwa ramani hii Kuna mjumbe huko juu ameuliza gharama za msingi kama eneo ni flat zikoje. Je unaweza kumsaidia kupata rough estimate?
 
anicheki watsap 0753757303 tuongee au apige
Ok. Japo kuwa lengo la thread hii lilikuwa ni kutoa elimu kidogo juu ya design (na mengineo) kwa kutumia design hii na michango ya wajumbe kuhusu design hii iwekwe humu Kwa faida ya wengi. Labda aliyeuliza Hana Nia ya kujenga design hii Kwa kiwanja chake au anataka tu kujua gharama Kwa sababu zake binafsi, ndiyo maana nikasema rough estimate na siyo detailed analysis.
 
Design nzuri japo kibongo ni vyema kuweka chumba cha kulala upande tofauti na jua linakozama (kwa mikoa ya joto) na kuweka chumba upande jua linazama (kwa mikoa ya baridi)
 
Asante mkuu. Bedroom 3 ipo mashariki na itapata jua la asubuhi (best bedroom) na Bedroom 1 ipo magharibi na itapata jua la jioni.
Katika design ya kitchen/laundry yard panaweza pandwa miti midogo yenye majani mengi kama masale, milimao, mikokomanga, nk. Ili kupunguza makali na mionzi ya jua itayopiga ukuta wa magharibi.
 
Asante sana kwa ushauri na elimu nzuri uliyotupatia. Kwa upande wangu naona ni vyema fundi mwashi, Sonara, Seremala, Arch, Mkadiliaji, Fundi umeme, fundi bomba na wengine wakashirikiana ili sisi wateja tuongee na mtu mmoja tu na yeye atawakilisha wengine wote (one stop shop). Itapunguza gharama na utapeli.
 
Asante pia. Kwa watu wa kawaida wasio na kipato kikubwa hiyo 'one stop shop' ni ngumu. Ila huwa inafanyika na Architect au Engineer au Project Manager ndio anakuwa team leader
 
Nahitaji ramani ya nyumba ya Master room moja na vyumba viwili vya kawaida pamoja na sebule,nyumba iwe ya mfumo wa contemporary house
 
Sawa mkuu. Naja PM kwa maelezo zaidi
 
Kwakweli nimependa ulivyo flow, sasa hii ndio design ambayo natamani kuona!! Sio mtu ana copy na kupest mchoro anasema ame design!!

Hongera sana

Kweli huyu jamaa anasound professional kwenye haya maelezo yake. Big up kwake
 
Back
Top Bottom