Jinsi ninavyo design (+ kanuni za design) Ep. 01: 3 bedroom house #01

⁹

Tunasubiri muendelezo
 
Hongera sana architect, umeelezea kwa kina tena kwa kutumia asilimia kubwa lugha yetu adhimu ya kiswahili,.mpaka nimejihisi kama UCLAS nilipita kukua tu πŸ˜† πŸ˜‚ . Hongera sana mkuu. Mimi nimeacha ku design tangu nimalize chuo,.nachora na kujenga tu. Ku design mara chache. (Nnaposema ninachora na kujenga utakuwa umenielewa). Ku design mara chache sana, tena si kwa ubora kama uliouelezea, hadi nimepata wivu.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wateja wa aina ya 'nna hela zangu' huwa tunawapenda ingawa Kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ni matapeli πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Bora wateja aina hiyo, umeshawahi kukutana na mteja anasema hana hela anataka kajengo kadogo tu sana ka vyumba vitatu , Master kubwa, vyoo viwe vikubwa na vyumba viwe vikubwa, jiko kubwa lenye store kubwa, chumba cha kusomea, chumba cha maombi, Loundry na sebule kubwa kabisa? Sasa utajua wewe Architect utaviongezaje kwenye kiwanja cha 15m by 15m na anataka garden na Parking ya gari 3 na kijengo cha nje chenje chumba chakulala, jiko, store na choo cha nje. πŸ˜„ 🀣
 
Wewe utakuwa Mwakipesile lazima πŸ˜„ 🀣
 
Hao pia huwa tunakutana nao wengi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…