Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
- Thread starter
-
- #61
Soma huu uzi upo vzuri umeelezea biashara ya bajajiAsante kwa maelezo mazuri..... Subiri niutafuteee huo uzi
Utakuta ni hivi, utakuta ni vile.Wenye akili ndogo wanakuaga na mitazamo ya ajabu sana. Yote yaloandikwa umeona ni marketing tu ya pikipiki. Na hapo utakuta we ni graduate unasaka ajira
Jaribu kubadili mitazamo katika maisha....mitazamo mingine ni ya kimaskini sana na ndio inayowarudisha watu nyuma halafu wanatafuta mchawiUtakuta ni hivi, utakuta ni vile.
We Jiambie lolote tu unaloona ni sawa kujiambia.
Leta pdf lako hapa uone kama hutoishia kuleta tako tu upelekewe motoBiashara ya kwenye PDF....
Leta pdf lako hapa uone kama hutoishia kuleta tako tu upelekewe moto
Wacha kukashifu shughuli za watu ikiwa wewe unaishi kwa mume wa dada yako kula kulala bureKama kawaida, utamtenga vipi mswahili maskini na matusi...
Matusi ni faraja ya mtu ambaye ubongo wake umefika mwisho kufikiri, hana tumaini lolote, hivyo huishia kutukana ili ajifariji...
Wacha kukashifu shughuli za watu ikiwa wewe unaishi kwa mume wa dada yako kula kulala bure
Tuletee pdf lako hapa haraka sana
Aisee naona unatapatapa tuWewe Geoffrey Christopher usitukane watu usiowajua, umesikia wewe kijana wa Mbeya?
Acha ujinga We kijana wa Mbeya utapewa za usoAisee naona unatapatapa tu
Wacha kuparamia na kutajataja majina ya wanaume...utapelekewa 🔥
Naona nawewe umekuja kinyume nyumeAcha ujinga We kijana wa Mbeya utapewa za uso
Tukana unavyowezaNaona nawewe umekuja kinyume nyume
Kweli kabisa. Binafsi ninazo na zinaenda sawa tu.Mkuu nimetaja pikipiki zote hapo juu kuna Fekon, Huoniao, Huaojue, Boxer etc hizi zote zipo hapo juu ila kwa maeneo nilipo hizi ndio pikipiki ngumu zaidi.
Dar bila kuwa na Boxer haufanyi kazi vzuri ila huku vijijini kwetu tunatumia hizi nyingine
Ukiogopa changamoto hakuna kitu utafanya.Changamoto madereva, ukiwekeza kwenye pikipiki faida yako iko kwa dereva. .
Ukiwa na dereva sio umeingia changa na pesa yako imewaka na moto., Hence changamoto 😊
Boss, ule ulikuwa mtazamo. Nilimpa hongera kisha nikatoa mtazamo wangu. Kusema anafanya marketing ya hizo pikipiki haibadili fursa aloyoitoa kwa atakayeiona.Jaribu kubadili mitazamo katika maisha....mitazamo mingine ni ya kimaskini sana na ndio inayowarudisha watu nyuma halafu wanatafuta mchawi
Kwa hesabu hizo bado ni biashara ambayo hailipi halafu risk nyingiUkiwa na pikipiki moja hauwezi kuona faida ya hii biashara, lakini ukiwa nazo nyingi zaidi ya 5 utaona faida yake maana within a day or month utapata hela nyingi.
Sawa kiongozi, pikipiki moja inakupa faida ya 108,000/= kwa mwezi kwa pikipiki ya mkataba wa miezi 12 so kwa mwaka utaoata faida ya 1,300,000/= per motorcycle.Kwa hesabu hizo bado ni biashara ambayo hailipi halafu risk nyingi
Ooh ok, shukrani sana mkuuNitakutumia ipo kwenye pc, nitaedit baadhi ya documents then nitakutumia uione yaani ni kuweka kumbukumbu tu ya kila dereva. Kiasi alicholeta na deni lake.
Mfano mimi nawekaga kumbukumbu ya marejesho ya kila dereva kwa siku kumi za kazi yaani kama ameleta 80,000 ndani ya siku kumi basi naandika paid ni 80K na deni ni 20K so formula inajicalculate yenyewe.
Hii kazi niliifanya kwa mafanikio makubwa sana nikaibiwq kama pipki 4 nikaachana nayo ila sasa nataka nirudie nimepitia mkataba wako upo bora sana nimeusave mwez5 natoa chomboMicrosoft word ya mkataba hii hapa, prepared by mimiView attachment 2460132