Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
- Thread starter
- #61
Soma huu uzi upo vzuri umeelezea biashara ya bajajiAsante kwa maelezo mazuri..... Subiri niutafuteee huo uzi
Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri
Nawasalimu wakuu woote wana JF. Mwenzenu nimepata kamshiko kama 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini Dar zinatumika sana, naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni Shs ngapi dereva anatakiwa alete kwa siku au week? Nashukuru naelewa humu ndani wapo wengi wanaofanya hii biashara...