Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

Mtoa mada wewe ni maskini kifwedha na kiakili ndo mana umejipa ajira mbadala ya kuzunguka na gari lako kutafuta mademu wanaoendana na Hali yako ya uchumi.
Huna Hela ila chukua hili;
View attachment 2282475
Kwa style hiyo utazunguka sana.
🤣🤣🤣🤣 Naona umempiga mtoa mada na kitu kizito
 
Sasa huo muda unaotumia kufanya hayo, hivi unapata kweli muda wa kufikiria kuwekeza na kusomesha Watoto?

Au labda umri wako bado mdogo sana na huna mahukumu ....cause Wanaume wengi kwasasa hawana muda wa kupoteza hivyo

In a long way unawaza mbinu na namna ya kumtongoza na kumlala Mwanamke mwenye mshkaji wake...maisha haya ya sasa na hali hii

Duuh....!
Peleka ukafiri wako huko!
 
Don't too personal, nimeshavuka stage za kuliwa,
NILICHOANDIKA NI MAONI YANGU NA NDIO UKWELI WALA SIPEPESI.
POLE KWA AJIRA MBADALA
Pia naahidi kukupeleka English course ili usiniaibishe kwa kuchapia hivi.
 
Back
Top Bottom