Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

He is now dancing to the tune of rule of laws
 
Hujawahi kuhojiwa
Huku mitandaoni ni nadharia zaidi
 
Hata mumtetee vipi,huyo jamaa ni jambazi mkuu
 
Tulia apatedawa,zamu yako yaja pengine hivi karibuni Sana, kwani yaonekana huamini katika haki ila katika uovu
Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
 
Inawezekana wewe ukawa ndo lofa wa mwezi huu
 
Lengo lako ni kumtetea muuwaji mwenzako,bahati mbaya humu hatuna hakimu,njia nzuri peleka utetezi wako Mahakamani June 18.
 
Sabaya hadi sasa ameshakula moja bila. Kitendo cha kiongozi wa umma kama yeye kutuhumiwa tu kwa maovu kama haya kimaadili kinatosha kusema hafai tena kuwa kiongozi
 
Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
Unaruhusiwa kuwa mmoja wa mashahidi upande wa mshitakiwa,ama nasema uongo ndugu zangu.
 
Lengo lako ni kumtetea muuwaji mwenzako,bahati mbaya humu hatuna hakimu,njia nzuri peleka utetezi wako Mahakamani June 18.
Huwa mnalazimishwa kuchangia mada zilizoenda shule?
 
Sijui umeandika kitu gani hiki
 
Ungeandika kutaja majina bila kuweka uchama hapo kidogo ungefikiriwa kuonezewa neno
 
CCM ni chama cha majambazi na wauaji!
 
Dhambi nyingine hazisubiri, ziko mulemule ndani ya kitendo,

Kamwe hazikuachi salama.
nasema lazima zimtafune na anastahili zimtafune. Mwenyezi Mungu nisamehe!!

Ndiyo Mungu alivoumba tufanyeje sasa!! mbaya zaidi zimetafuna Baba na mtoto.

Basi yamepita hayo, rudi kundini na tubu kwa dhati ya moyo wako hadharani hutaki !!
Tukufanyeje sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…