Najiuliza kwa nini sisi tunaopenda haki itendeke na sheria ifuatwe tunaitwa Chadema?.
Au ni kwa sababu walioumizwa ni wananchi wenye mrengo wa Chadema?
Pia kaumiza wananchi wenye mrengo wa CCM mafano diwani wa kata aliyepigwa vibaya pale soko kuu Arusha.
Naona unaleta hoja kutoa repoti Polisi, wengi waliotendewa walitoa repoti Polisi ila polisi hawakuweza kuchukua hatua yoyote mfano mzuri ni matukio ya Arusha kama la kupigwa kwa diwani, kulala hotelini na kutolipa katika mahotel mbali mbali na hata kujeruhi watu. Hata tukio la kuvamia hotel hai lilirepotiwa polisi hadi umoja wa mataifa wakakanusha kuwa lile gari sio lao na kutaka mamlaka za Tanzania zifanye uchunguzi wa hilo gari.