Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Hakuna jipya chini ya siasa
Kinachofanyika ni mama kutafta popularity kwa upinzani, kwa kutolewa sadaka kwa baadhi ya waliokuwa mwiba kwa upinzani,
Mama kashagundua fika kuwa raia hawamkubali na haeleweki kabisa,
Anajaribu kutumia jukwaa la upinzani lililojaa wanaharakati apate kupaika,
Chama chake kipo silence kucheki movie tu inavyo kwenda na wala hakuna tamko lolote lile la kumuunga mkono harakati zake, si CCM taifa wala UVCCM, UWCCM, wote wapo kimya hawajatoa tamko la kumuunga mkono,
Anajaribu kuuridhisha upinzani huku akijimaliza mwenyewe,
Tuhuma za sabaya zinagusa wengi hasa jeshi la polisi,
Ata yeye mama anahusika pia kwani alikuwapo kwenye kutoa maoni yake kwa bosi wake kuhusu trend za kijana wao kama ni kweli,
Sisi MATAGA SI MATALA tena,
Tunaelewa sana
Nchi inaongozwa kwa majungu ya wanaharakati
Tuhuma kwa watu walifanya vizuri kwa maslahi ya wengi zitaendelea sana,
Series ipo kwa wanaharakati, mama anashinda Twitter kupitia nani katajwa Leo na wanaharakati,
Majungu, majungu majungu yashapata wa kuyafanyia kazi
Wacha goma liende tu, hamnna jipya to those Era.
RIP#JPM, mtetez wa wengi, nitakukumbuka daima