jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
Umeandika utoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kesi ndogo nenda kamtoe, aacha kutia kinyaa watu, kesi za kubaka bado zinakujaKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Mkuu inalekea mishipa ya aibu na kumbukumbu ilishachomoka kitamboSasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?
Heri ufe tu uondokane na haya mateso! Na huko utakakoenda kuna mkuu wa malaika uliye kuwa Una mwabudu atakupa raha ya milele!Tunatengeneza precedent mbaya,
Ikija awamu ya saba itadeal na watu wa awamu ya sita,
Taifa litakua la visasi tu,
Tunapiga hatua moja mbele tunarudi tano nyuma.
Maskini Tanzania sijui lini utazifikia ndoto zako.
Juzi alivyo OGA wakampaka mafuta pale kisongo wahuni sio watu wazur kabsaaProof beyond reasonable doubt
Na bado Wewe! Shukuru sana huruma ya Melo, tungekujua tu, ungemfuata mumeo kwenye fungate yake Kisongo, kuleenyai!Hakuna jipya chini ya siasa
Kinachofanyika ni mama kutafta popularity kwa upinzani, kwa kutolewa sadaka kwa baadhi ya waliokuwa mwiba kwa upinzani,
Mama kashagundua fika kuwa raia hawamkubali na haeleweki kabisa,
Anajaribu kutumia jukwaa la upinzani lililojaa wanaharakati apate kupaika,
Chama chake kipo silence kucheki movie tu inavyo kwenda na wala hakuna tamko lolote lile la kumuunga mkono harakati zake, si CCM taifa wala UVCCM, UWCCM, wote wapo kimya hawajatoa tamko la kumuunga mkono,
Anajaribu kuuridhisha upinzani huku akijimaliza mwenyewe,
Tuhuma za sabaya zinagusa wengi hasa jeshi la polisi,
Ata yeye mama anahusika pia kwani alikuwapo kwenye kutoa maoni yake kwa bosi wake kuhusu trend za kijana wao kama ni kweli,
Sisi MATAGA SI MATALA tena,
Tunaelewa sana
Nchi inaongozwa kwa majungu ya wanaharakati
Tuhuma kwa watu walifanya vizuri kwa maslahi ya wengi zitaendelea sana,
Series ipo kwa wanaharakati, mama anashinda Twitter kupitia nani katajwa Leo na wanaharakati,
Majungu, majungu majungu yashapata wa kuyafanyia kazi
Wacha goma liende tu, hamnna jipya to those Era.
RIP#JPM, mtetez wa wengi, nitakukumbuka daima
Daaah ila wamempaka mafuta aiseAcha propaganda Leta balance report tuelewe mkuu. Kama hana kosa atarudi home kama Kuna kosa sheria itachukua mkondo wake nakuhakikishia yupo Salama na kaamka na amepiga mswaki na kupata breakfast kama watu wengine
Kumbe Una I'd mbili matako weweKabisa mimi ni MATAGA
ulitaka kingine zaidi?
igp afute kesi ambayo bado uchunguzi haujakamilika?Aliekuambia nafanya kazi za vyombo vya usalama nani? Kama wamepewa hiyo dhamana mbona rais kamuambia Igp wafute kesi walizobambikia watu makosa? Tumia akili bwege mkubwa.
Hakuna kesi hapo, huwezi kuniambia eti DC katumia silaha kupora 35,000/=. Hivi ktk akili ndogo tu hata ya chekechea unaweza kukibaliana na uzandiki huo wa Chadema? Kinachofanyika kwa Sabaya ni kumdhalilisha tu hakuna lolote hapo. Aliyeporwa milioni 90, aliporwa ktk mazingira yapi na Sabaya? Sheria ya umiliki wa pesa inasemaje? Chadema acheni uzandiki wa hivyo na kwa vile mmeshamfix huyo Rais wenu wa Viti Maalum basi msijione nchi ni ya kwenuKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Hawa mdogo walijiona wapo peponi...wao kama 4, bado 3 wanaliwa timingi kuingia kwenye 18 za Jamhuri.Hakuna kitu kibaya kama kupambana na mtu asiye adui yako. CHADEMA inaingiaje katika ishu ya Sabaya?
Aliyeagiza uchunguzi ni Mwenyekiti wa CCM, aliyemsimamisha kazi ni mwenyekiti wa CCM, aliyemuhoji ni TAKUKURU, organ ya Serikali inayoongozwa na CCM, aliyemshtaki ni DPP aliyechaguliwa na mwenyekiti wa CCM sasa CHADEMA inaingia wapi hapa we jamaa.
Kipindi hiki mngetumia sala zenu na nguvu zenu kujisafisha kuliko kupambana na CHADEMA.
Sasa wanaelewa kwa nini Tundu Lissu alishinikiza kwamba Ole Sabaya "atendewe haki" kwa kupelekwa mahakamani, asiendelee kushikiliwa kwenye PCCB castody. Lissu ni mwanasheria nguli, alijua kabla hajafikishwa mahakamani, tuhuma zinaweza kuyeyuka, lakini tuhuma zikishafika mahakamani sheria tu ndiyo itaamua. Watu walianza kusema Lissu anataka kumsaidia Sabaya. Baada ya Sabaya kufika mahakamani, watu wale wale wameanza kupiga kelele.Kweli maisha yanaenda kwa kasi ya 5g
Yaani eti mataga leo wamekua ni watu wa kuilaumu takukuru na mahakama kua hazitendi haki?
Wasiliana na DPP aliyepeleka file la tuhuma zake mahakamani, atakua amejiridhisha kabla ya kupeleka huko.Nani ataweza kuthibitisha bila shaka hizi tuhuma?
Hayo ndiyo yaliyofanyiwa uchunguzi na kufungua case, yapo mengine yanakusanywa. Nenda mahakamani tarehe 18/06 utayasikia na mengine ambayo yanafanyiwa kazi sasahivi.Kilicho nishangaza eti makosa yote kayafanya January 2021..
Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John.Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Aachiwe huru ili wananchi tumshughulikie kisawasawa!Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Mamlaka ya Uteuzi ikuteue uwe WAKILI WA SERIKALIKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
[emoji16][emoji16]