Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Kumsaidia sabaya ni kumfunga miaka ya kutosha,

Kumwachia Kwa namna yoyote ile aje mtaani ama atajinyonga au kuuawa kabsa!

Nafuu akae gerezani
 
Mkuu tafuta namna uwe unakwenda kumtembelea pale Kisongo Gerezani kila J'pili. Yaani Saambaya ndio hivyo tena.
 
Sasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?
Umemaliza,apambane na hali yake
 
Wew kibwengu mpelekee mumeo chakula kisongo,ondoa shuzi lako hapa
 
Kwa kwa kutulia bwana wenu ameshaingia shimo la tewa
 
Wakati mnafanya ujinga na sabaya akili yenu ilikuwa ya kipumbavu mkiamini Magufuli Ni mungu na mpo juu ya sheria na hakuna wa kuwachukulia hatua na Ndiyo nyinyi mliharibu twaswira ya Magufuri kwa wapenda Haki.huyo mshenzi mwezako hadi picha za video zinamuumbua na bado unatetea ushenzi .mpumbavu sana wewe
 
Sasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?
 
Sabaya ni jambazi kabisa!

Sijui kwa nini kuna watanzania wasiojitambua wanamtetea?
 
Uko shujaa sana kwenye
keyboard.
Jitokeze basi hadharani.
Yumkini utamnasua.
 
Mtoa mada naona katumwagia pumba za kufungia mwaka , your next wewe kama ulishiriki jipange umo njiani kwenda jela jipange acha kuandika nyuzi za ajabuajabu . Wenzako wameshajiandaa kwenda jela hawa hapa na wewe jiandae .
 
Kama awamu ya tano ilivyodiri na kutukana wazee wetu wastahafu wa awamu ya nne.

Mlipaswa mumkemee dhalimu wenu lkn ninyi mlipiga vigerere wkt wengine wanateseka

Sasa ni wkt wenu kuvuna mlichopanda
 
The one who allege must prove, serikali ndiyo itakayo prove au kushindwa kuprove kaa kwa kutulia

Mtu analiwa Tigo kisongo huko
 
Kama alikuwa basha wako ww vumilia tuu au kama vp tafuta basha mwingine arithi nafasi ya sabaya [emoji23]
 
Sawa, tangu juzi alishaolewa kule kisongo na bwana wake anamtandika nao. Wee piga kelele mwenzio anakojolewa lile kojo zito
 
Acha Sheria ichukue mkondo wake! Mahakama iko kwa ajili ya kutenda haki ndiyo itaamua.
Pole sana kama ni ndugu au jamaa yako.
 
Acha Sheria ichukue mkondo wake! Mahakama iko kwa ajili ya kutenda haki ndiyo itaamua.
Pole sana kama ni ndugu au jamaa yako.
Kwa kesi ya sabaya hakimu hapati tabu ya kuthibitisha makosa yake sababu ushahidi upo wazi kabisa. Pale ni kumpa 30 zake aka.firwe na kufia jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…