6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.