Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
😀😀😀😀
Na walipewa siku 20 mkuu siku ya 21 ndio wakaua wale viongozi kuna mji fulani nimeusahau sana wanasema unakaliwa na waarabu, wamelalamika ya kuwa wao hawakujengewa sehemu za kujificha ila hilo halikupatwa na madhara piaBaadhi ya member wa Jamii forums tunamaanini propaganda za kizamani na kutaka kuwaaminisha watu kwamba mnajua sana.
Operation imeua viongozi wakubwa wa jeshi, imeharibu miundombinu muhimu ya nchi ikiwemo maghala ya silaha, viwanda vya kusafisua mafuta n.k bado unakuja hizi ngonjera.
Ndo maana nchi ni maskini
Historia ipi? Muyahudi ana historia ndefu sana ya kuchapwa kila mara tangu enzi za Babeli na Syria ya zamani. Babeli/ Iraq iliwachukua mateka na watumwa Kwa mamia ya miaka hadi waliokombolewa na Muajemi. Mfalme wa Washami (Syria) alichukia mateka makabila 10 ya Israel hadi hata mabaki yao hayajulikani. Jenerali Tito Mrumi aliwasambaratisha Mwaka 70 baada ya Kristo na wakawa duniani isiyo yao Kwa miaka karibu 2000.Wewe boya soma history, Israel hajawahi shindwa vita na muatabu.. lazima mwarabu atanyosha tu mikono!! Ni swala la muda TU.
Asante kwa historia safi na ya kweli 👍Historia ipi? Muyahudi ana historia ndefu sana ya kuchapwa kila mara tangu enzi za Babeli na Syria ya zamani. Babeli/ Iraq iliwachukua mateka na watumwa Kwa mamia ya miaka hadi waliokombolewa na Muajemi. Mfalme wa Washami (Syria) alichukia mateka makabila 10 ya Israel hadi hata mabaki yao hayajulikani. Jenerali Tito Mrumi aliwasambaratisha Mwaka 70 baada ya Kristo na wakawa duniani isiyo yao Kwa miaka karibu 2000.
Wayahudi wanapaswa kujifunza kuishi vizuri na watu. Wakiendelea kuwa wakaidi kitawakuta Tena kilichowakuta wakati wa Hitla.
Brain washed kutoka western propagand .. hakika wamefanikiwa ila vita ya palestina imesaidia sana kuamsha watu usingizin kuhusu western propagand na israel inavyopewa sifa kumbe ni koloni la magaharibiKina nani magaidi?
Mwanamke gani amekandamizwa na kwa sheria ipi?Lete mfano.
Unajifanya kipofu huoni kipigo alichopigwa Iran? Angalia hapo chini uone makamanda wake walivyofyekelewa mbali na majeshi ya Israel kwa siku moja tu!!!Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kinanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Kwa sisi wenye akili timamu huwa hatudanganywi. Propaganda zao zinafanya kazi kwa wapumbavu, wajinga na wenye matatizo ya akili.Brain washed kutoka western propagand .. hakika wamefanikiwa ila vita ya palestina imesaidia sana kuamsha watu usingizin kuhusu western propagand na israel inavyopewa sifa kumbe ni koloni la magaharibi
Kama alivyolaaniwa muddyImelaaniwa Israel