Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Kufyeka viongozi wenye ulinzi mpana sio haba.Sometimes silence is strategy, and retreat is repositioning, not defeat. Huwezi kupima nguvu ya Rising Lion kwa wiki moja ya mapambano, wakati historia yake ya survival ni miaka mingi ya kutovunjika. Don’t mistake resilience for weakness. The real game is never played in headlines, bali kwenye vikao vya ukimya vya maamuzi.
Amelaaniwa Ayatollah na utawala wake muovuImelaaniwa Israel
Amelaaniwa kwa lipi?Amelaaniwa Ayatollah na utawala wake muovu
Kufadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na Wasunni,Amelaaniwa kwa lipi?
Taja uovu wa utawala wake?
Makamanda waliokufa wamefikia wangapi?Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kina nani magaidi?Kufadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na Wasunni,
Kukandamiza wanawake na raia wa Iran kwa ujumla kwa utawala wa sharia.
Kuua wapinzani wake
Kasome Iran ya ki-secular ya Shah iliyokuwepo mwaka 1979 kurudi nyuma uone utofauti wake na Iran ya utawala wa kidini wa Ma-Ayatollah walipompindua Shah.Kina nani magaidi?
Mwanamke gani amekandamizwa na kwa sheria ipi?Lete mfano.
Baadhi ya member wa Jamii forums tunamaanini propaganda za kizamani na kutaka kuwaaminisha watu kwamba mnajua sana.Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Unaota wewe ama unaropokwa wewe.Kasome Iran ya ki-secular ya Shah iliyokuwepo mwaka 1979 kurudi nyuma uone utofauti wake na Iran ya utawala wa kidini wa Ma-Ayatollah walipompindua Shah.
Wewe boya soma history, Israel hajawahi shindwa vita na muatabu.. lazima mwarabu atanyosha tu mikono!! Ni swala la muda TU.Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Hata historia yenyewe huijui.Wewe boya soma history, Israel hajawahi shindwa vita na muatabu.. lazima mwarabu atanyosha tu mikono!! Ni swala la muda TU.
Nafikiri wote watarudi nyuma na kama watakuja kwenda mbele watapenda wote kwa hiyo ni uduanzi tu hakuna akili hapo vita havijawahi kuwa na faidaKufyeka viongozi wenye ulinzi mpana sio haba.
Hao jamaa akina Benja na Donadii wanachokitaka ni kumrudisha huyo mtu nyuma na kumpunguza kabsaa katika kila kitu