Hakika mkuu. Hiki ulichoandika ndio uhalisia wenyewe. Muda sio mrefu watu watakuja kuona jinsi miji ya tel aviv na haifa ilivyovunjwa vunjwa na kuachwa mashimo tupu.Israel wamezuia picha zisipigwe ila msijali sisi Iran tutatumia muda huu kuitengenezea Suprise dunia baada ya siku 10 picha zikivuja mtashindwa kuitofautisha Gaza na Israel maana Israel itakua imegeuka majivu.
Iran ni kama Popo bawa anapenda zaidi ukiwa unamfichia siri ili akutembezee bakora bara'bara
Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Mnavyotukanana sasa utadhani NI familia zenu za Kiswahili zina bifu, JF Raha sanaHata historia yenyewe huijui.
1973 Israel alipigwa na Misri Sinai peninsula matako wewe.
Na Iran sio muarabu ni muajemi.
Aliwahi kupigana vita ya miaka 8 alichangiwa na USA,France,UK na USSR na akaibuka kidedea.
Ndio uje ufananishe na ISRAEL?
Kumbe unaongelea kuvunja majengo, mie nikadhani Netanyahu na wenzie wameliwa vichwa😎😎. So, tukikubaliana kuvunja majengo ni ushindi, then Yahudi Hilo ndo eneo lake alijualo saana.Niaje waungwana
Kinachotokea sasa hivi huko Tel Aviv kwa muuaji Shetaninyau kunanikumbusha ule msemo wa Mike Tyson aliosema kuwa "EVERYONE HAS A PLAN UNTIL THEY GET PUNCHED IN THE FACE"
Kama mwanzisha rising lion angejua kichapo kitachompata yeye mwenyewe kutokana na operation yake, sidhani kama angekuja kufanya ujinga huu unaogharimu kila kilichopo kwake.
Mijengo mirefu walioijenga kwa muda mrefu, sasa inapukutishwa kama jivu linalosombwa na maji. Miundombinu waliotumia gharama kubwa kuijenga inavunjwa vunjwa kama nyumba ya udongo iliyogongwa na train (treni)
Mitambo ya kuzuia madhara ya adui imechanwa chanwa kama chujio la kuchujia nazi. Vitu vinapenya tu bila kizuizi chochote, na propaganda za kudai kuzuia mashambulizi zinaonekana kushindwa maana dunia ya leo watu wanajionea kila kitu.
Mwenye operation rising lion alijua atalimaliza hili peke yake, kwa muda mfupi. Sasa imekuwa week na ameshaanza kuona kuwa anazama katika maji yenye kina kirefu ambacho yeye binafsi hajui urefu wake.
Ghafla Mr rising lion ameanza kupiga mayowe ya uchungu wa kipigo, kumuomba baba yake aingilie ugomvi wake ambao aliuanzisha yeye mwenyewe bila kuchokozwa. Watu wake wameanza kukimbia ili kunusuru maisha yao. Wageni wake nao wameambiwa na balozi zao kuwa watoke mapema kabla miji ya Mr rising lion haijateketezwa yote na moto.
Hakuna mahali salama tena katika nchi yao, maana mpaka makao makuu ya mashushu wao ambayo yalikuwa na ulinzi mkali wa anga na ardhini yameshambuliwa na kuachwa matundu na mashimo matupu, so ije kuwa nyumba ya raia au mwanasiasa!!
Pengine usalama wao kwa sasa unategemeana na maamuzi ya ya mkubwa wao Mr rising lion. Abatilishe operation yake iliyoshindwa mapema ili kusimamisha mapambano, au aendelee ili watu wake na kila kilicho chake kiendelee kuteketea.
Hebu angalia majengo marefu ya Mr rising lion hapo pichani ilivyochakazwa, ni nani aliewahi kufikiri kuwa kuna siku maghorofa hayo ya kisasa na yaliotumia gharama kubwa kuyajenga, leo hii yanakuja kufanywa matundu ya kufugia njiwa namna hiyo.
Baada ya kuanza na msemo wa Mike Tyson kwa kimombo huko juu, sasa namalizia kwa msemo wa kiswahili chetu kuwa "USIMCHOKOZE USIEMJUA, MAANA KITACHOKUPATA HAUTOKIJUA"
Pole Mr rising lion kwa kuvamia shubiri ukijua kuwa ni juice ya machungwa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo hapo chini ni habari kutoka nyumbani kwa Mr rising lion, wakikiri kuwa kwa mara ya kwanza Mr rising lion ameona hana namna isipokuwa kuomba msaada wa kumsaidia kupambana na mwenye nguvu.
Umewalaani wewe!?Amelaaniwa Ayatollah na utawala wake muovu
Huko Bulgaria na Poland ndio kwao halisi. Kule wanapoita Israel wamevamia tu ili kuiba ardhi ya watu.Iran anatembeza kichapo kimya kimya wa Israel wanakimbia nchi huko
View: https://www.instagram.com/reel/DLCfGFwPluO/?igsh=MWV4eXgzZmR5YWps
Umemuuliza swali zuri sana.Unaota wewe ama unaropokwa wewe.
Huo utawala wa Shah si ndio uliosababisha Oil crisis pale Iran?
Waliopindua serikali si wananchi wenyewe baada ya kuona hakuna usawa juu ya rasilimali zao zinavyotafunwa na USA?
Nitajie hao magaidi ambao Iran anawafadhili.
Kuna muda kama hajielewi huyu jamaa.Umemuuliza swali zuri sana.
Wewe dodoki pori hebu kasome kwanza historia ya Iran halafu ndio uje u comment hapa. Unaona sasa ulivyokuwa mpumbavu kwa kushindwa kutofautisha waarab na wasiokuwa waarab. Aliekwambia kama Iran ni waarab ni nani?Wewe boya soma history, Israel hajawahi shindwa vita na muatabu.. lazima mwarabu atanyosha tu mikono!! Ni swala la muda TU.
Achana nae huyo bwege mkuu. Tatizo la hii mitandao ya kijamii unakuta kila mtu anaruhusiwa kujiunga na mtandao hata kama hakuwahi kwenda shule kufuta ujinga. Jitu lipo kakonko halijui hata utofauti wa waajemi na waarab eti linakimbilia ku comment ujinga hapa JF mpaka aibu.Hata historia yenyewe huijui.
1973 Israel alipigwa na Misri Sinai peninsula matako wewe.
Na Iran sio muarabu ni muajemi.
Aliwahi kupigana vita ya miaka 8 alichangiwa na USA,France,UK na USSR na akaibuka kidedea.
Ndio uje ufananishe na ISRAEL?
Dont involve us in that sht. Walianzishe wao halafu wajifiche kwenye WW3? TO hell with ....World war 3 around the corner