Jinsi operation "rising lion" ilivyogeuka kuwa operation "sleeping lion". Nini tunajifunza kuhusu jambo hilo?

Na walipewa siku 20 mkuu siku ya 21 ndio wakaua wale viongozi kuna mji fulani nimeusahau sana wanasema unakaliwa na waarabu, wamelalamika ya kuwa wao hawakujengewa sehemu za kujificha ila hilo halikupatwa na madhara pia
 
Wewe boya soma history, Israel hajawahi shindwa vita na muatabu.. lazima mwarabu atanyosha tu mikono!! Ni swala la muda TU.
Historia ipi? Muyahudi ana historia ndefu sana ya kuchapwa kila mara tangu enzi za Babeli na Syria ya zamani. Babeli/ Iraq iliwachukua mateka na watumwa Kwa mamia ya miaka hadi waliokombolewa na Muajemi. Mfalme wa Washami (Syria) alichukia mateka makabila 10 ya Israel hadi hata mabaki yao hayajulikani. Jenerali Tito Mrumi aliwasambaratisha Mwaka 70 baada ya Kristo na wakawa duniani isiyo yao Kwa miaka karibu 2000.

Wayahudi wanapaswa kujifunza kuishi vizuri na watu. Wakiendelea kuwa wakaidi kitawakuta Tena kilichowakuta wakati wa Hitla.
 
Asante kwa historia safi na ya kweli πŸ‘
 
Kina nani magaidi?
Mwanamke gani amekandamizwa na kwa sheria ipi?Lete mfano.
Brain washed kutoka western propagand .. hakika wamefanikiwa ila vita ya palestina imesaidia sana kuamsha watu usingizin kuhusu western propagand na israel inavyopewa sifa kumbe ni koloni la magaharibi
 
Unajifanya kipofu huoni kipigo alichopigwa Iran? Angalia hapo chini uone makamanda wake walivyofyekelewa mbali na majeshi ya Israel kwa siku moja tu!!!
 

Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 17
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 18
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 21
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 19
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 22
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 18
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 18
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 16
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 19
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 19
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 17
Brain washed kutoka western propagand .. hakika wamefanikiwa ila vita ya palestina imesaidia sana kuamsha watu usingizin kuhusu western propagand na israel inavyopewa sifa kumbe ni koloni la magaharibi
Kwa sisi wenye akili timamu huwa hatudanganywi. Propaganda zao zinafanya kazi kwa wapumbavu, wajinga na wenye matatizo ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…