kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
SUA ndio chuo kilichobaki Tanzania, vingine ni TAKATAKA.
SUA zinaenda kusoma takataka zilizokosa nafasi UDSM na mzumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUA ndio chuo kilichobaki Tanzania, vingine ni TAKATAKA.
ndio hizo mboga za milioni 10 nini?Hii ni mboga kitoweo kwa makabila ya kule nyanda za juu kusini ..!
SUA zinaenda kusoma takataka zilizokosa nafasi UDSM na mzumbe
Hakuna University ambayo ni Takataka hapa Tz, acha dharauSUA ndio chuo kilichobaki Tanzania, vingine ni TAKATAKA.
acha uzembe wa kufikiria, kwa taarifa fahamu kama hujui-miaka ile ya tisini (sijui weweulikuwa na umri gani), wanafunzi walio disco pale SUA, walienda wakajiunga na UDSM waka perform vizuri huko, SUA yaliwashinda... wengine ni my classmates. Siwezi wataja hapa.SUA zinaenda kusoma takataka zilizokosa nafasi UDSM na mzumbe
acha uzembe wa kufikiria, kwa taarifa fahamu kama hujui-miaka ile ya tisini (sijui weweulikuwa na umri gani), wanafunzi walio disco pale SUA, walienda wakajiunga na UDSM waka perform vizuri huko, SUA yaliwashinda... wengine ni my classmates. Siwezi wataja hapa.
Sasa jiulize kama SUA wanakwenda walio feli inakuwaje, hao hao wakajiunga na UDSM wakati failures. Inaonesha ww bado ni mtoto haujakua kiakili. Namshukuru Mungu nilipata nafasi ya kusoma na kumaliza salama pale SUA, waliosoma pale, wanajua nini maana ya kusoma Sokoine University of Agriculture. Enzi hizo pale kulikuwa hakuna warembo.......chezea sayansi wwweeeee!!!!!!! si ajabu hata wewe ilikukimbiza, natania tu!!!! ila kama limekupata pole
uongo uliokamilikaacha uzembe wa kufikiria, kwa taarifa fahamu kama hujui-miaka ile ya tisini (sijui weweulikuwa na umri gani), wanafunzi walio disco pale SUA, walienda wakajiunga na UDSM waka perform vizuri huko, SUA yaliwashinda... wengine ni my classmates. Siwezi wataja hapa.
Sasa jiulize kama SUA wanakwenda walio feli inakuwaje, hao hao wakajiunga na UDSM wakati failures. Inaonesha ww bado ni mtoto haujakua kiakili. Namshukuru Mungu nilipata nafasi ya kusoma na kumaliza salama pale SUA, waliosoma pale, wanajua nini maana ya kusoma Sokoine University of Agriculture. Enzi hizo pale kulikuwa hakuna warembo.......chezea sayansi wwweeeee!!!!!!! si ajabu hata wewe ilikukimbiza, natania tu!!!! ila kama limekupata pole
achana na punguan huyo, anaisifia UDSM wakat ndio chuo kinachoongoza kwa utoa mambumbu, mtu anamaliza UDSM lakn hata kuandika barua ya application anashindwa. Ww kalagabaho tatzo ubongo wako umesinyaa ndio maana huwez kufikir mbele zaidi
acha uzembe wa kufikiria, kwa taarifa fahamu kama hujui-miaka ile ya tisini (sijui weweulikuwa na umri gani), wanafunzi walio disco pale SUA, walienda wakajiunga na UDSM waka perform vizuri huko, SUA yaliwashinda... wengine ni my classmates. Siwezi wataja hapa.
Sasa jiulize kama SUA wanakwenda walio feli inakuwaje, hao hao wakajiunga na UDSM wakati failures. Inaonesha ww bado ni mtoto haujakua kiakili. Namshukuru Mungu nilipata nafasi ya kusoma na kumaliza salama pale SUA, waliosoma pale, wanajua nini maana ya kusoma Sokoine University of Agriculture. Enzi hizo pale kulikuwa hakuna warembo.......chezea sayansi wwweeeee!!!!!!! si ajabu hata wewe ilikukimbiza, natania tu!!!! ila kama limekupata pole
Ningetaja majina ya watu hapa ambao wali disco SUA wakajiunga na UDSM, na wakaosha huko. Na kwa sasa wengine i big fish in the country. Kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa na below ya kufikiri ndiyo maana unasema huu ni uongo. Wenye above wanajua nimeandika nini, wewe una below usibinshane na mimi mwenye above ya kufikiri na kuonauongo uliokamilika
kuipambanisha SUA na UDSM ni sawa na kumpambanisha 50 cent na Daz baba
Achen Udsm ipambanishwe na vyuo kama OXFORD na CAMBRIDGE
Kukipambanisha na SUA ni kukikosea heshima chuo hiki kitukufu
Nimesoma SUA, shule ya pale wewe huiwezi. UDSM kina umri mkubwa sio material makubwa, na shule ya pale ni laini, usiniulize nimejuaje. Najua kwa sababu nilitaka kujua, nikajua kuwa iko hivyo. Hivyo ulivyovitaja shule yao sio ngumu ila vina umri mkubwa. Hujiulizi kwanini MST, ambacho siyo kikongwe lakini ndiyo kinashika namba moja kila mwaka duniani.... nenda kasome higher degree pale SUA tuone kama utatoka salama!!!! chezea SUA weweeeee!!!!!kuipambanisha SUA na UDSM ni sawa na kumpambanisha 50 cent na Daz baba
Achen Udsm ipambanishwe na vyuo kama OXFORD na CAMBRIDGE
Kukipambanisha na SUA ni kukikosea heshima chuo hiki kitukufu
acha uzembe wa kufikiria, kwa taarifa fahamu kama hujui-miaka ile ya tisini (sijui weweulikuwa na umri gani), wanafunzi walio disco pale SUA, walienda wakajiunga na UDSM waka perform vizuri huko, SUA yaliwashinda... wengine ni my classmates. Siwezi wataja hapa.
Sasa jiulize kama SUA wanakwenda walio feli inakuwaje, hao hao wakajiunga na UDSM wakati failures. Inaonesha ww bado ni mtoto haujakua kiakili. Namshukuru Mungu nilipata nafasi ya kusoma na kumaliza salama pale SUA, waliosoma pale, wanajua nini maana ya kusoma Sokoine University of Agriculture. Enzi hizo pale kulikuwa hakuna warembo.......chezea sayansi wwweeeee!!!!!!! si ajabu hata wewe ilikukimbiza, natania tu!!!! ila kama limekupata pole
Unapozungumzia chuo kikuu hapa Tanzania unazungumzia chuo kikuu cha dsm. Na unapotaja university jua unazungumzia UDSM. Any way wee endelea kujifariji na panya wako.