Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.
Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.
Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.
kufuga nyweli,kusokota Dredi ,na ubishoo bila hela hakuna kitu kizuri utafaidi.
Enzi zetu unapiga msichana ukiwa na baiskeli yako Hamilton wala hasemi umpe chochote.
Leo hii wanetu mnaambiwa Una shilingi ngapi poleni.
Uhandsome bila pesa hausaidii,utapendwa na sugarmamy lililokubuhu tu
Pichani ni mchezaji wa Yanga Azik ki akiwa na Shori Hamisa Mobeto.
Yaani hapo Aziz ki anaonekana ana lips denda.