Jinsi Pesa inavyoweza kubadili hisia za Watu hasa Mapenzi

Jinsi Pesa inavyoweza kubadili hisia za Watu hasa Mapenzi

Samata ni mjanja sana aliwakwepa hawa mbuzi meheeeeeee wa kuzazaaa hovyo na kulilia child support.
 
Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.

Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.

Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.

kufuga nyweli,kusokota Dredi ,na ubishoo bila hela hakuna kitu kizuri utafaidi.

Enzi zetu unapiga msichana ukiwa na baiskeli yako Hamilton wala hasemi umpe chochote.

Leo hii wanetu mnaambiwa Una shilingi ngapi poleni.

Uhandsome bila pesa hausaidii,utapendwa na sugarmamy lililokubuhu tu

Pichani ni mchezaji wa Yanga Azik ki akiwa na Shori Hamisa Mobeto.

Yaani hapo Aziz ki anaonekana ana lips denda.View attachment 3233679
Hata hivyo dada etu HAMISA anahakikisha aziz k hatoki na kitu tz, karibu mgen mwenyej apone.
sema akibahatishwa ujauzito daaa atatukwaza
 
Nikutoe nishaibkudogo;siyo ere ni ela Kisha tundelee na mada yetu
Hahahah kuacha space kati ya maneno mawili huwezi, halafu unataka kumsahihisha mwingine

Anyway, tufanye asingemaanisha era tunayoijua. Lakini "ela" ni nini mkuu
 
Back
Top Bottom