Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
We jitoe ufahamu tu 🤣🤣Samahani mkuu....
Who's this guys here....🤔
Kaka futa hiiMaadili Yako wapi?
Utu upo wapi?
Vijana wanaenda wapi?
Video ipo wapi?
Picha hii hapa 🥴 🥴 View attachment 3233690
Lkn usikosoe uumbaji wa MunguPesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.
Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.
Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.
kufuga nyweli,kusokota Dredi ,na ubishoo bila hela hakuna kitu kizuri utafaidi.
Enzi zetu unapiga msichana ukiwa na baiskeli yako Hamilton wala hasemi umpe chochote.
Leo hii wanetu mnaambiwa Una shilingi ngapi poleni.
Uhandsome bila pesa hausaidii,utapendwa na sugarmamy lililokubuhu tu
Pichani ni mchezaji wa Yanga Azik ki akiwa na Shori Hamisa Mobeto.
Yaani hapo Aziz ki anaonekana ana lips denda.View attachment 3233679
wapiga picha wanaona vingi na wana siri nyingi ambazo wakizitoa watu watashangaaMaadili Yako wapi?
Utu upo wapi?
Vijana wanaenda wapi?
Video ipo wapi?
Picha hii hapa 🥴 🥴 View attachment 3233690
Ni wapi nimekosoa uumbaji wa MunguLkn usikosoe uumbaji wa Mungu
Gogo lishabanduka hiloSawa SAWA, Bandu Bandu Humaliza Gogo
Mimi haikuwa yangu ilikuwa ya faza🤣umeizungumzia baiskeli kwa wakati huo familia ngapi ziliweza kumudu kununua hamilton uliyoitaja?
KwannKaka futa hii
Picha za namna hii unazitoa wapi kijana?. Wewe ni mwanafamilia wa hizi mbanga nini??.Maadili Yako wapi?
Utu upo wapi?
Vijana wanaenda wapi?
Video ipo wapi?
Picha hii hapa 🥴 🥴 View attachment 3233690
Maadili Yako wapi?
Utu upo wapi?
Vijana wanaenda wapi?
Video ipo wapi?
Picha hii hapa 🥴 🥴 View attachment 3233690
Pesa mbaya sana
Kuna siku tumejikuta mimi na mchumba wangu tukashindwa kuzagamuwana kwasababu mambo yetu yalikuwa hayaendi poa
,binti alikuwa mkavu sana na mim baada ya kuona hyo hali mbol o ililala utazan imeambiwa mpaka asubuh hatukufanya tena
Wakat siku zingine tulikuwa tukikutana hakuna kulala mpaka tulikuwa tunakaribia kuvunja vitanda