Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Asante mkuu, lkn nafikiri unafahamu kuwa kifo hakiepukiki. Unaweza kurudi ukajikuta umeuwawa na panyaroad au aina yoyote ya kifo ambacho hukukitarajia.

Kikubwa ni kuwa makini na kumuomba Mungu sana ili aniweke mbali na haya mabalaa.
Huko kwa Madiba wamesahau fadhila zetu!pindi wanauawa na makaburu ovyo, Sasa wamekuwa makaburu wao na kuzidi.
 
1. I think umekuja hapa kubisha tu, na sio kusoma kilichoandikwa.

2. South sio peponi wala mbinguni, ni duniani ambapo kila mtu, hata wewe ambae unaonesha hujawahi kufika Dar unaweza kufika. Kuna wamalawi kibao ambao hata Town yao Lilongwe hawaifahamu lkn wako hapa, so usitishike au kushangazwa na mimi au mtu yoyote kuwepo hapa maana kunafikika wakati wowote.

Hapo kwenye namba 2 yako unasema nipo bongo alafu unasema tena barabara nilizozitaja ni sahihi! Mtu ambae yupo bongo kama unavyodai anawezaje kutaja kwa usahihi barabara hiyo.

3. Mimi nimeandika kwa kujiamini kwa sababu nina watu kibao humu wanaonifahamu na wanajua nipo wapi. Pia huu sio uzi wa kwanza mimi kuandika habari za huku South labda wewe ndo mgeni hapa jukwaani, hivyo unaona maajabu mno.
 
Huko kwa Madiba wamesahau fadhila zetu!pindi wanauawa na makaburu ovyo, Sasa wamekuwa makaburu wao na kuzidi.
Sio kila anaefanya uhalifu hapa ni mzawa mkuu. Kuna wahalifu kutoka nchi mbalimbali mpaka baadhi ya ndugu zetu watanzania hapa ni wahalifu na ukiingia anga zao wanakuondoa bila kujali wewe ni mbongo mwenzao, mzawa au mtu kutoka nchi nyingine yoyote.

Yani maisha hapa ni mapambano mwanzo mwisho.
 
Usiseme kaburu sema Johannesburg..huo upuuzi huwezi ukuta capetown labda uchomeshwe na wabongo wenzako tu.
Hii miji mikubwa yote joz, cap, deben ni hatari kuishi japo inatofautiana risk kulingana na mzunguko wa pesa na hali ya maisha.

Angalau Pretoria kuna usalama kwa kiasi kikubwa, japo napo gharama ya maisha ni kubwa kimtindo.
 
Mkuu, unang'ang'ania nini huko Bondeni, rudi Bingo. Maisha ya roho mkononi yana raha gani?

Vv
 
Naomba kuuliza. Ivi kwa nini SA kuna matukio mengi ya mauaji kuliko nchi zingine, wanaishi maisha kama kwenye movie.
1. Capitalism.
Pengo kubwa zaidi la kipato kati ya matajiri na maskini.
Scramble for Scarce resources/Struggle for existence.
Karibu njia zote kuu za uchumi ktk nchi kumilikiwa na Mabepari wachache (Wazungu).
2. Historical background of the Country.
Loose Guns & Weapons Control Laws/Legislations.
Sheria za umiliki wa silaha ziko dhaifu sana.
Watu wengi ktk nchi kuwa na Mafunzo ya kijeshi, wengine ni makomandoo kabisa wa "Umkhonto We Sizwe " (MK) lakini hawana kazi au hawajaajiriwa popote pale
Biashara za Magendo kwenye Mchakato wa Uuzaji wa Silaha.
3.International Migration.
Kuwepo Wahamiaji wengi kwenye nchi hiyo, illegal migrants ambao wengine ni wahalifu (crooks and criminals).
 
Wewe tunakujua ni sensationalist na attention seeker plus unajua kutunga riwaya out of nothing. Huna lolote. Unatafuta sympathy tu. Labda unadaiwa mahela au unafanya drug deals zako. Nani anajua? Watu wakufukuze kwa makilomita, kona kwa kona bila sababu?
 
Huyo Mkongo unayedai kafuatwa hadi chooni na kupigwa risasi 4, huku wenzake wakinusurika kifo, kwa akili zako za kimama Samia hao wauaji walikuwa wanataka kumpora? Hujasema sababu ya yeye tu kutafutwa na hatimaye kuuwawa kama vile hujasema kwanini wakufukuze wewe tu kati ya mamilioni ya watu Cape Town na Jo'burg.
 
Hutakufa bali utaishi! Ulinzi wa Mungu utembee nawe kokote uendako.
 
Uzuri wa Jamii forum kila mmoja yupoa mambele
N. B nipo zangu Tokyo natafuna kahwa
Mambele ni wapi mkuu? Kama ni "ng'ambo" utakuwa umekosea kwa sababu kila siku kuna nyuzi za watu wengi wanaotamani kwenda huko na kuna za wanaokiri kuwa hawajawahi kwenda na hawana mpango huo maishani mwao. Si rahisi kwa kila mwana JF kuwa "mambele"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…