Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Nina beef na mzazi mwenzangu ambae ni mzawa, ila sidhani kama yeye anaweza kuandaa mchezo wa aina hii.
Nimeshatoa taarifa kwenye vyombo husika mkuu, so bado tunafuatilia kwa karibu hili tukio la jana ili kuelewa chanzo na sababu zake.
Hapana ipo kitu haiwezekani jaribu kuangalia sana kuna traitor unwambia mipango yako sasa wanataka kukumaliza Bro wacha kuropokwa ovyo hususan mafanikio yako kaa kimyaa
 
Hongera kwa kutambua hatari...

Next time jitahidi kuchukua aina yoyote ya ushahidi pia gari yako iwekee Dashboard camera.. na rear camera. Pia weka tinted kali.

Nyumba yako iwekee security nzuri bila kusahau camera.. sometimes unapata ushahidi kwa kufatilia footages za miezi kadhaa nyuma na kumjua/kuwabaini watu wabaya.

Pia ukiwa na mishe zako usiwe mtu wa kutumia njia moja. Yaan njia hiyo hiyo utakayotoka nayo ndio urudi nayo..

Jitahidi uwe mtu wa kubadiri njia mara kwa mara yaan UNPREDICTABLE
Hiyo ndio Mafia Style hayo ni mambo muhimu
 
Chukua akiba yako njoo bongo! Wekeza fanya biashara! Huzuri wa bongo ni amani! Njoo pm nikuonyeshe maeneo unaweza kufanya biashara ukapata hela
Kuja bongo sio tatizo, tatizo ni ile kukurupuka bila kufanya maandalizi.

1. SA ndio nchi yenye mifumo mizuri na bora ya elimu kuliko nchi yoyote ya Afrika. Wengi tunasomesha watoto wetu ili waje kuwa viongozi wetu wa kesho. Nikija nao bongo inamaana nakuja kuwaanzisha upya mfumo wa elimu wasiouelewa na wasioufahamu ikiwemo lugha ya kiswahili ambayo hawajaizoea.

2. Pia wazo la kuwekeza ni zuri, lakini linahitaji mtu afanye research ya kutosha ili kujua ni uwekezaji gani wenye tija ambao anaweza kuuwekeza, na sio kukurupuka tu kupitia mitandaoni mwisho wa siku mtu unakuja kusaga meno huku maisha yakikuharibikia huku unaona, na wakati ulikuwa na sehem yako ya kukupatia mkate, kusomesha familia wakiwemo wadogo zako huko nyumban, kuvaa, kujenga nk.

Wazo lako ni zuri mno, lkn linahitaji muda kidogo ili kupata uamuzi sahihi.
 
Botswana hufikirii kwenda...?
Botswana ni kuzuri kwa watu waliopazoea kule muda mrefu. Lakini pia wana sheria kali sana. Ni kama wana kaubaguzi fulan, so ni ngumu mtafutaji mpya kutusua.
 
Hapana ipo kitu haiwezekani jaribu kuangalia sana kuna traitor unwambia mipango yako sasa wanataka kukumaliza Bro wacha kuropokwa ovyo hususan mafanikio yako kaa kimyaa
Asante mkuu kwa ushauri, lkn utaratibu wa kuropokwa mimi huwa sinaga kabisa.

Labda kuna mtu hapendezewa na aina ya maisha ninayoishi, so anaamua kunifanyia uhuni wa kunimaliza bila sababu.
 
Kuja bongo sio tatizo, tatizo ni ile kukurupuka bila kufanya maandalizi.

1. SA ndio nchi yenye mifumo mizuri na bora ya elimu kuliko nchi yoyote ya Afrika. Wengi tunasomesha watoto wetu ili waje kuwa viongozi wetu wa kesho. Nikija nao bongo inamaana nakuja kuwaanzisha upya mfumo wa elimu wasiouelewa na wasioufahamu ikiwemo lugha ya kiswahili ambayo hawajaizoea.

2. Pia wazo la kuwekeza ni zuri, lakini linahitaji mtu afanye research ya kutosha ili kujua ni uwekezaji gani wenye tija ambao anaweza kuuwekeza, na sio kukurupuka tu kupitia mitandaoni mwisho wa siku mtu unakuja kusaga meno huku maisha yakikuharibikia huku unaona, na wakati ulikuwa na sehem yako ya kukupatia mkate, kusomesha familia wakiwemo wadogo zako huko nyumban, kuvaa, kujenga nk.

Wazo lako ni zuri mno, lkn linahitaji muda kidogo ili kupata uamuzi sahihi.
Chief naomba ufafanuzi hapo kwenye elimu bora ...elimu ya south africa wanafundisha vitu gani special tofauti na huku kwetu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kila nchi ina mifumo na mitala yake ya elimu. So tz na south kuna tofauti kubwa ya mitala na mifumo ya ufundishaji chief.

Ni kama vile utofauti wa ufundishaji kati ya shule za mjini na vijijini au shule za serikali na private. Mtaala ni mmoja ila ufundishaji na ubora wa walimu ni tofauti.
 
Yani elimu yenu ya Tanzania ulinganishe na SA
Ndo nimetoka kumfafanulia hapo chini 👇 i hope akisoma atanielewa.

Back
Top Bottom