nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Huna tatizoHabari Wakuu,
Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.
Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.
TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.
Nilienda nalo.
Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.
Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.
Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.
Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.
Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.
KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.
Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.
Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.
au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.
Maana kwakweli inauma sana.
Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.
Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Pata mafunzo ya jando na unyago pia hudhuria semina za ndoa....itakusaidia kujua namna njema ya kumuandaa mwanamke,namna ya kumshika,kumtekenya,kumfinya na kumpapasa.