Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Huna tatizo
Pata mafunzo ya jando na unyago pia hudhuria semina za ndoa....itakusaidia kujua namna njema ya kumuandaa mwanamke,namna ya kumshika,kumtekenya,kumfinya na kumpapasa.
 
Ila hili suala la kurudia game nadhani inategemea na nyie wawili hapo, mfano mm kuna mtu niko nae sa h game la kwanza ntamaliza vzr ila game la pili siwezi kumwaga bali ntachoka na kuacha game mpaka badae sana.
Ila kuna wengine naweza kwenda nao ht game tano.
KUna kipindi hata mimi niliwahi kurudia gemu, demu akachoka, nikaacha bila kumwaga.
 
Huna tatizo
Pata mafunzo ya jando na unyago pia hudhuria semina za ndoa....itakusaidia kujua namna njema ya kumuandaa mwanamke,namna ya kumshika,kumtekenya,kumfinya na kumpapasa.
NAdhani hii inaweza kuwa kweli, nakili kwenye kumuandaa mwanamke mimi ni mvivu, naweza kumuandaa dk mbili, tayari nishachomeka.

Hayo mafunzo nahudhuria wapi.
 
Haraka ya nini mwanamke akishakupa nafasi ya kuwa nae kitandani usiwe na haraka cheza na mwili wake usiogope mshike kila mahala hakikisha kalegea haswa kingine jifunze kujizuia piga tako 5 chomoa mchezee dakika 2 chomeka piga 5 tena chomoa ivo ivo Kama anashanga unatumia shanga zake pia na akili yako isiwaze sana hapo chukulia kitu Cha kawaida inapendeza kufanya michezo iyo ukiwa kimkojo kidogo kimekubana ikikubali unaweza unga ata bao 4
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Sasa sii bora wee unafika ata dakika mbili.
Mie sekunde 20 chaliii and on top of that nina kibamia.
Wee jikubali kama mie muhimu wewe umekojowa mwanamke yeye akatafute wakumkojoza
 
Haraka ya nini mwanamke akishakupa nafasi ya kuwa nae kitandani usiwe na haraka cheza na mwili wake usiogope mshike kila mahala hakikisha kalegea haswa kingine jifunze kujizuia piga tako 5 chomoa mchezee dakika 2 chomeka piga 5 tena chomoa ivo ivo Kama anashanga unatumia shanga zake pia na akili yako isiwaze sana hapo chukulia kitu Cha kawaida inapendeza kufanya michezo iyo ukiwa kimkojo kidogo kimekubana ikikubali unaweza unga ata bao 4
Hii nadharia ya akili yako isiwaze sana hapo ni uwongo mzeya.
Sasa pisi kali ipo mbele yako, tako tako, titi titi kweli kweli akili inahamaje kwemda kwengine?
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Hiyo ndo nzuri KAZI ya kuwaridhisha wanawake ni masikini

Sasa ivi jikite kwenye kutafuta Doo sana wakija unapiga unavuta mbele kama ajaridhika atajua yeye
 
Hapo tatizo ni la kisaikolojia, peer pressure na ukosefu wa elimu ya masuala ya ngono.

Kwa mtu wa kawaida ambaye yupo sawa anapaswa kumwaga kati ya dakika tatu hadi saba kwa round ya kwanza.

Baada ya hapo ni LAZIMA uingie kwenye refractory period; ambayo huchukua si chini ya dakika 15. Round ya pili inapaswa uende dakika 20 hadi 30, ya tatu 45 hadi 60, n.k.

Ni muhimu uzingatie foreplay. Achana na habari za kuunganisha sijui saa nzima unapiga haujamwaga... Hayo ni kwa wanaotumia viagra, na madawa mengine ambayo yana madhara makubwa kiafya baadaye.

Unaweza kupiga kimoja kwa ustadi na wote mkainjoi. Unaweza kukomaa kifuani kwa mwanamke saa nzima na msi-enjoy, ukaishia tu kumuumiza mtoto wa watu.

Sex is an art, be creative, be natural.
 
hata kabla ya nyeto ( miaka minne baada ya kuanza sex)
Nilikuwa ni hivyohivyo.

Nikimaliza naweza kurudia sema inachukua hadi dkk10 mpaka nusu saa.
Kurudia narudia hata mara nne.
Kama kurudia unaweza ndani ya muda uliotajja basi sio shida kubwa kihivyo unavyojistress labda kama unadanganya maana kuna wale tako tatu wazungu haoo alafu kurudia ni kesho kutwa yake.
 
Back
Top Bottom