Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Pole sana kwa hilo tatizo Mkuu

Nashauri kama mnaweza, hakikisha hilo goli la kwanza linatoka wakati wa foreplay i.e wakati binti anakuimbia mistari na maiki

Baada ya hapo, akufute kisha mnaanza tena maandalizi.

Mkifanya this time, lazima uchelewe kufika. Unaweza kusogea japo dakika 7 hadi 15
 
Sorry bro najua jinsi unavyojickia vby mbele ya manzi ako,,,, unaonekana huna shida kubwa, tatzo ni saikolojia yako tu ilivyokaa,,, Nakushauri jiamini, jifunze fore play vizuri, badili madem ili upate kujiamini , ikiwezekana kanunue malaya,,, lengo ni kutengeneza kujiamini kwanza,,,mazoez pia usisahau
 
Hivi mtu mwenye Dm, anakuwa na PE au ED? Au vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…