Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Ashakwambia tatizo limemuanza kabla hata hajaanza kunyetuka!!

Jf kila mwenye tatizo kunako 6×6 ataambiwa acha nyeto..

Inaonekana ni ushauri mliokaliki kwenye kila posts za namna hii.

Kuna nyeto za aina nyingi, na nyingi hazilwgezi mishipa ya uume, hii acha nyeto mara nyingi sio msaada kabisa.
Sawa mkuu ila kama anapiga nyeto aache inachangia pakubwa tatizo kuendelea.
 
ili linaweza kuwa tatizo la kiafya kama lilianza kabla hata ya kunyetuka;

na pia mwanamke anaweza akawa mzuri ila asikuvutie kingono hana hamasa ya kukufanya damu iende kasi.

na mda mwingine maybe unakuwa unapania sana game mpaka akili inatoka mchezoni na inakuwa hofu.

kwenye game jitahidi wewe ndiyo uwe controller with confidence, na amini kwamba swala la kukojoa maamuzi unayo wewe
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Dah!!! Kwahiyo uko wapi.....
 
Kwenye kupania gemu kuna ukweli pia.
 
Sasa sii bora wee unafika ata dakika mbili.
Mie sekunde 20 chaliii and on top of that nina kibamia.
Wee jikubali kama mie muhimu wewe umekojowa mwanamke yeye akatafute wakumkojoza
We jamaa hauko serious,
Hakuna feeling mbaya kwa mwanaume kwenye sex, kama kujua mpenzi wako hajrizika.
Yaani, unajua kabisa hapa nimezingua, unatamani ujitetee, unakosa utetezi. Yaani acha tuu.
 
Kama kurudia unaweza ndani ya muda uliotajja basi sio shida kubwa kihivyo unavyojistress labda kama unadanganya maana kuna wale tako tatu wazungu haoo alafu kurudia ni kesho kutwa yake.
Mimi kurudia narudia. Mfano nikilala na demu usiku mzima naweza rudia mara mbili, na asbh nikapiga ya nne.
Tatizo ni kuwahi tuu, chini ya dkk 5.
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Kanunue ujana utumie
 
Back
Top Bottom