Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Mkuu usihangaike na watu kama hawa ambao hawajui nini kinaendelea duniani.
Aisee Mkuu Kuna haja tuangalie upya mfumo wetu wa Elimu Aisee kama kijana nasikitika sana kuona vijana wenzangu na wazee wazima hawajui Dunia Yao inaendaje Aisee,
Huu Sasa utakua wajibu wetu kama wanajukwaa tunabahatika angalau kufuatilia vitu kuwahabarisha ndugu zetu walio gizani maana ipo siku Moja ndugu zetu watakuja kuona vitu vya ajabu wakadhani ni miujiza kumbe man made!
 
Good thinking mkuu.Watu wengi hawatumii akili kabisa.
The funny thing is just last week nilikuwa nawaza haya mambo. Kuwa wazungu wapo busy kuexplore ulimwengu nje ya dunia.

Why wanahangaika na kutafuta uwezekano wa kuishi nje ya dunia?!

So it means ile story ya mwisho wa dunia watu kunyakuliwa is not as magical is we think it will be, i think itakuwa ni scientific na itahappen as kama kwenye filamu vile tukiona watu wanaishi nje ya sayari.

Waafrika kimsingi tutabakia kushika mkia. Maana wenzetu wanaplan kutafuta pa kupeleka watu wao just incase dunia ikiharibika ila sisi mipango yetu imekaa kwenye upigaji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ask yourself. Hizi nyuklia power siku wakibutuana hapa na kuachia mabomu dunia nzima hivi itakuwaje sisi tutajificha wapi?!
 
Mm nilowahi soma sehemu kuna hadi technology za kuprint human organ
Hadi gari walisema linaweza kua printed except some few parts ndo hyo technology haiwez
 
Hata dini zimesema atakuja kuwachukua baadhi na kwenda nao sayari nyingine,huko hakuna shida wala ujambazi.
 
Katika hali ya kawaida huwezi print chakula hasa kilichopikwa hata kibichi kinachofanyika ni kutengeneza vyakula vibichi maabara as gmo (genetic modified organism) ambavyo vinaandaliwa maabara sio kulimwa mfano cabage zipo hata mayai
So hiyo hoja ya kuprint 3d chakula hapa ni uongo jiongeze hata kwakushghulisha ubongo
Ni kweli maarifa yameenda mbali sana wana clone miili ya viumbe hai ila utashi ndio unasumbua ndio ambao unafanyiwa kazi bado
 
Bado sana kufika mars maana mars core is dead cold it does not generate magnetic fields
 
Wakati huo Mungu atakua wapi?

Kila nafsi itaonja mauti!!
 
Wakati huo Mungu atakua wapi?

Kila nafsi itaonja mauti!!
wakati huo Mungu ataendelea kua vichwani mwa Watu Kama wewe,wakati huo wenzio watakua wamekamilisha project Yao,
Ndio Kila nafsi itaonja mauti kama ilivyo kawaida ila haitazuia wenye fahamu zao kuendeleza kazi!
 
Hilo jambo lishafanyika hayo yatakua marudio....that means waliofanya hivyo mwanzo wanaenda fanya tena saaame thing
 
Sound like kweli vile, ila n wewe jiulize. Kama ni kweli huyo Mungu walituletea? Wako wapi waliotuletea? Wamkeufa sio? Hawawi sehemu ya hiyo mbingu yako uliyoileza sio? Wanafaidika nini kwa kuanzisha project ambayo wan uhakika hawatajua mwisho wake? Ukiweza kudadavua hii vizuri nitarudi
 
Wataweza kuwafufua waliokufa?
 
Inatafakarisha Sana,Inamaana
1:Uumbwaji Wetu Nani Muhusika?

2:Vitabu Vitakatifu Vilikujaje,Nani Muhusika?

3:Yaliyotabiriwa Katika Vitabu Vitakatifu Nani Muhusika Maana Yapo Yaliyotabiriwa na Sasa Yanaonekana.

4:Lile Jiwe La Chumvi (Mwanmke Aliegeuka Jiwe la Chumvi)
Kule Sodoma Na Gomora Limetajwa Katika Biblia,Nayo Ni Mission?

5:Uponyaji wa Wagonjwa Kupitia Maombi Nayo Ni Mission?

6:Uchawi,Miujiza,Viumbe (Majini,Wanyama,Wadudu,Mimea nk) Nayo Ni Mission?


Your Not Sirius Brother,
Niishie Hapa Kwa Muda,Ukinisaidia Uelewa Katika Haya Tutaendelea.
 
Elon Musk aendelea kumwaga pesa kwenye mradi wa Space X kuendeleza kuichunguza Sayari ya mars!
Tutakuja na update wadau!
 
[emoji457][emoji375][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
The Antichrist?Mbona hukumalizia bwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…