Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Unazungumzia concept ya kigiriki "Elysium"
 
Kama technology ya terra-forming iko tayari, ni swala la miaka kadhaa tu kubadili atmosphere ya mars kufanana na ya earth. Ila low gravity ndo itakuwa ishu
 
Kama technology ya terra-forming iko tayari, ni swala la miaka kadhaa tu kubadili atmosphere ya mars kufanana na ya earth. Ila low gravity ndo itakuwa ishu
still hypothetical mkuu haijawahi kuwa proved km inaweza work, low gravity ni issue km unavyosema, kuna radiation issue lkn kuna issue ya ajali hii watu wanaioverlook sn, maana hizi artificial processes zitakazofanyika ili kutengeneza atmosphere zitakua zinahitaji maintance what if cku moja system zikafeli? na kulivyo mbali kule
 
sasa hii stori ina akili kubwa ipi mkuu? Yani kusimulia vitu ulivyosikia nayo ni akili kubwa? Hizi fiction tu, maisha Mars hayawezekaniki.
hayawezekaniki kwa sababu zipi? kwa tech ya sasa ni ngumu kwa binadamu ila micro organism inawezekana hasa baada ya kugundulika viumbe wanaoweza kuishi under extreme conditions km vile radiations pia viumbe wanaotumia aina flani ya iron badala ya oksijen kwe energy production, so kwa micro organism inawezekana maana ht maji yapo underground issue ni kwa advanced organisms km sisi but watu ndo hvyo wanawork out changamoto ingawa binfasi nakubaliana kuwa kwa kuifanya mars irudi kuwa km dunia ni ngumu sana mars is dead hatuwez kuifufua tena labda tu iwe sehem ya kwenda kutalii na kurudi
 
Hao microbes wanaitwa hyperthermophile microbes.
 
Kwanini mnawaza kufa badala ya kuishi?.Alafu nyie ndio mnalalamikia Wanzungu wakati nyinyi wenyewe hamna haja ya maisha.
kufa ni constant hata iweje ni lazima kufa kuwepo maisha tofauti na ulimwengu huu hayawezekaniki kwa binadamu labda kutembea tu huko Mars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…