Jinsi Putin alivyoibadilisha Urusi kuwa na nguvu ya kibabe ulimwenguni

Syria wanayo hayo mapipa lakini wanadundwa kila siku na IDF.
 
Putin awekeze kuinua wananchi wake kiuchumi aachane na mambo ya Kununua silaha za kivita, huwezi amini Canada yenye watu million 30+ imewapita Russia kwa GDP yenye watu million 130+
Hii comment kila sehemu ihusuyo URUSI unaiweka.
 
Hii comment kila sehemu ihusuyo URUSI unaiweka.
Ndo maana yake mkuu maana ya nguvu ni ipi kama wananchi wako wanaishi kwa shida, Russia angekua vizuri kiuchumi asingetumia nguvu kubwa kumshawishi Ukraine kuwa upande wake
 
Putin awekeze kuinua wananchi wake kiuchumi aachane na mambo ya Kununua silaha za kivita, huwezi amini Canada yenye watu million 30+ imewapita Russia kwa GDP yenye watu million 130+
Wananunua silaha au wanatengeneza?
 
Russia ni nchi ingetakiwa iwe mbali sana Wana resources nyingi Ila ndo hivyo nchi za kijamaa zinawekeza sana kwenye jeshi

Russia ni wapili kuwa viwanda vya silaha baada ya marekani
Kwani Marekani ni nchi ya kijamaa! Urusi siyo nchi ya kijamaa! Au una maanisha USSR? Urusi na USSR ni vitu tofauti!
 
Hivi uliyo andika una uhakika nayo? Miaka 40 uliyo sema mbona Russia haikuwa nchi kamili - palikuwapo USSR! Wewe utaambiwa ukajilishe kwanza kama walivyo ambiwa waKenya! Yaani mtanzania anasema Russia ni masikini? Wonders will never end! Mtanzania eti!
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ikatokea wasimame wawili tu Russia na USA bila washirika nani atashinda?
 
Mambo ya vita ya zamani sana anaonekana kichaa tu .kwanza vita yenyewe inamshinda hajachukua major city mpaka Sasa .Ukraine wanapigania nchi Yao .Putin si mtu wa kumchezea ni shetani dunia mpya Hii
 
Unachekesha kweli.
So wewe ndio unajua vipaumbele vya Urusi Ila wao hawajui?

Taifa zima la watu 130+ M hawajitambui Ila wewe hapo Vingunguti ndio unajua wafanye nini.
Jinga sana wewe.
 
Hivi amewahi jiuliza kwamba sisi pamoja na gas na oil deposits bado tunatumia kuni kupikia chakula sasa anavuka nchi na bahari kwenda kuilaumu russian na akati hapa tz kwetu mikoa yenye madini kama shinyanga ndiko hali ngumu wabibi na wamayo macho mekundu kisa moshi wa kuni hadi wanakula mapanga kusingiziwa uchawi
 
Putin awekeze kuinua wananchi wake kiuchumi aachane na mambo ya Kununua silaha za kivita, huwezi amini Canada yenye watu million 30+ imewapita Russia kwa GDP yenye watu million 130+
Kweli wewe ni kapuku wa fikra
 
Putin awekeze kuinua wananchi wake kiuchumi aachane na mambo ya Kununua silaha za kivita, huwezi amini Canada yenye watu million 30+ imewapita Russia kwa GDP yenye watu million 130+
Pambania nchi yako yenye watu mili9n 58 afu mnazidiwa na kenya
 
Sizitaki mbichi hizi

Uwezo mkubwa wa kijeshi ndio unaamua pia uwezo wako wa uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…