Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Helcopters, bunduki, etcKama zipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Helcopters, bunduki, etcKama zipi.
[emoji23][emoji23][emoji134],US roadsHii barabara ni kama Arusha-Moshi, hamna tofauti. Eti hii ndio Highway na hawa ndio wanawakomalia nchi za magharibi.
Hii ndio shida ya nchi zinazotawaliwa kidikteta na ndio kielelezo tosha cha kutuonyesha kwamba maendeleo hayawezi kuletwa kwa ubabe kwa sababu hii ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na rasilimali nyingi za asili lakini hii ndio taswira yake kamili..😛😛😛
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji134],US roads
View attachment 2125862View attachment 2125863View attachment 2125864
Hizo picha nazikumbuka ninazo ilikuwa ni kwenye 1920s.[emoji23][emoji23][emoji134],US roads
View attachment 2125862View attachment 2125863View attachment 2125864
Marekani ina soko kubwa la uuzaji silaha na ukiona wanaagiza silaha kutoka Russia basi ujue waagizaji ni private sector na hizo silaha are not meant for the use by the US military but purely for civilian use.Helcopters, bunduki, etc
Hamnaga taifa ambalo sio potential mkuu.........kibiashara hilo ndio Lina fulsa kubwa .......refer ...chanzo cha Iran kuanza kupeleka shehena za mafuta kuleSasa Venezuela si sawa na somalia Hana faida yeyote yaan sio potential
Kabsa mkuu ...pamoja na China kuwa na uchumi mkubwa......but alikuwa ananyayaswa na Jimbo lake la ndani ......HONKONG......hadi pale alipo amua kufuata ubabesasa mkuu,kati ya nchi ulizotaja ukilinganisha na russia nani anaheshimika na kuogopwa zaidi,mipaka yako ni muhimu sana..
Hapo hujatumia akili mkuu .....yani Ukubwa wa urusi .....unaifananisha na Burundi kweli ..Russia ilibidi liwe bara........Ukubwa wa nchi unapelekea connectedness ya n hi kuwa ndogoAngekuwa amejenga taifa lenye nguvu angekuwa haogopi Ukraine kujiunga na EU na NATO. Halafu maisha ya watu ni ya hali ya chini sana; kuna matajiri wachache tu. Alipopota mafuta na gesi, pesa yote akapeleka kwenye jeshi. Nchi haina barabara za maana za kuunganisha miji. Ni sehemu chache tu zilizoko Magharibi maneo ya Moscow na St Petersbug ndiko kuna maisha; ukishafika Ufa kutokea Mosco unakutana na barabara za hovyo sana kuliko hata za Burundi. Kwa mfano angalia hizi Highway za kutoka Ufa kwenda sehemu nyingine ispokuwa kwenda Moscow.
View attachment 2125684
View attachment 2125687
Nchi ni kubwa Sana ile ......Tz inaweza kuingia Mara 300.....so kuwa connected with quality infrastructures itachukua miaka 300Yaani hao warusi ni watu bure kabisa yaani barabara zao hamna tofauti na za kwetu na ndio wanang'ang'ania eti kupambana na nchi za magharibi, hawa jamaa wana akili kweli..!!
Hawa watu kumbe tatizo lao ni sawa na sisi, kukosa uongozi. Nchi kubwa yenye watu wenye akili na rasilimali lukuki kama Russia ndio inakuwa na barabara feki hivyo eti ndio Highway....!!
Kwa hali hii hawa jamaa wana safari ndefu sana kuja kufikia hatua ya maendeleo iliyokwisha fikiwa na nchi za magharibi labda wana karne mbili mbele au wapate viongozi wenye maono tofauti na walionao sasa kwani watawala walionao sasa hawana tofauti na akina Kim Jong Un.
Kwani mmechunguza barabara zoteHii barabara ni kama Arusha-Moshi, hamna tofauti. Eti hii ndio Highway na hawa ndio wanawakomalia nchi za magharibi.
Hii ndio shida ya nchi zinazotawaliwa kidikteta na ndio kielelezo tosha cha kutuonyesha kwamba maendeleo hayawezi kuletwa kwa ubabe kwa sababu hii ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na rasilimali nyingi za asili lakini hii ndio taswira yake kamili..😛😛😛
Ila Russia Wana mifumo bora ya ulinzi wa anga than USA ........refer to s _ 300Marekani ina soko kubwa la uuzaji silaha na ukiona wanaagiza silaha kutoka Russia basi ujue waagizaji ni private sector na hizo silaha are not meant for the use by the US military but purely for civilian use.
Serikali za Marekani na Russia hawana utaratibu wa kuuziana silaha kwa matumizi ya kijeshi.
US hainunui silaha kutok urusi. Zamani sana wakati wa utawala wa Reagan kabla na baada ya USSR kuvunjika, kulikuwa na kampuni fulani ya watu waliokuwa na connection kwenye serikali ya Reagan kupitia mgongo wa james baker ilikuwa na contract ya kuwa inanunua silaha kutoka Belarus kisiri na kuzipeleka Nicaragua kusaidia waasi wa Contra. Vile vile CIA ilikuwa inanunua silaha za Urusi na Korea ya kaskazini kwa siri kwa ajili ya kutathmini ubora wake ikiwa ni pamoja na kutafuta mbinu za kuzijam, lakini siyo kwa matumizi ya kijeshi. Wakati huo kituo chao cha kufanyia utafiti wa silaha hizo kilikuwa Ujerumani; siku hizi hawafanyi hivyo tena.Tangiapo US wananunua silaha za mrusi
Mbona marekani imeunganishwa yote; kusini mpaka kasikazini na kutokea magaharibi hadi mashariki. Hizo highway za urusi, ni barabara za vijijini kwenye mashamba ya wakulima wa marekani; siyo hata za serikali ya mtaa.Hapo hujatumia akili mkuu .....yani Ukubwa wa urusi .....unaifananisha na Burundi kweli ..Russia ilibidi liwe bara........Ukubwa wa nchi unapelekea connectedness ya n hi kuwa ndogo
barabara nzuri Urusi ziko maeneo ya Magharibi tu: Kuanzia Ufa kurudi hadi Moscow na St Pettersberg. Eneo lote kutokea Ufa hadi vlavodostock ni barabara mbovu sana ispokuwa chache chache za mijini.Kwani mmechunguza barabara zote
Acheni kuwa na HALLO EFFECTS